Utabiri wa kweli: Watumishi wa Umma watapandishiwa mishahara Agosti 2020

Wenye kufikiri vyema tumejua,anaweza kupunguza kodi lakini sio kuongeza mshahara kwa sababu ni rahisi sana kufanya marekebisho ya kodi (kuongeza baada ya uchaguzi) na kurudi kwenye mishahara ya zamani, lakini ukiongeza mshahara basic salary,huwezi kuipunguza kirahisi!

So, yawezekana kabisa kukawa na ongezeko la take home kwa kipindi kifupi,lakini ikachukuliwa baada ya election!
 
Ukiwa hujaongezewa mshahara usininune na wewe punguza kura mshawishi na mwezako kufanya hivyo!
 
TAKUKURU hii hii au nyingine?
Hii takukuru ya kumhoji Kangi Lugola na ilani yake mkononi au nyingine?
 
Mbona una kihele hele... sasa hv wanachomoa mishaharj ya watia nia then itarushwa
Wote sio wenzako ,,kama hujapata tuliza matako! Isubiri unachokisema,,,,na hicho kihehere kanirithisha MAMA AKO?
 
Mbona una kihele hele... sasa hv wanachomoa mishaharj ya watia nia then itarushwa
Wote sio wenzako ,,kama hujapata tuliza matako! Isubiri unachokisema,,,,na hicho kihehere kanirithisha MAMA AKO?
 
Kama

Ndoto za alinacha!!!
 

Kuwa muazi ueleweke Mtoto wa Kiume usiongee kimafumbo
 
Muungwana endelea kujifariji maana matumaini ya yakiisha kabisa unaweza kujinyonga! Unahisi itaongezwa laki moja!!!
 
Labda mishahara ya watumishi wa CCM makao makuu
 
Alisema akimaliza muda wake atapandisha labda mda ushafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…