Utabiri wa kweli: Watumishi wa Umma watapandishiwa mishahara Agosti 2020

Walichofanya mwezi huuwa saba wamepunguza kodi mm mwenyewe nimeona nimepata 47,k imeongezeka kwenye mshahara wangu .... Angalau kidogo hapo sasa ndio najua imeshatoka kabisa
 
Nasikia ameongeza 30,000 tu .....ndani miaka 5 nyongeza ndio hiyo kwa mujibu wa sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…