Utabiri wa Sheikh Yahya Hussein mwaka 2006 na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke

Kipindi hicho video zilikuwa adimu sana, media zilizokuwa kwenye chati wakati huo ilikuwa magazeti na redio...
Ni kweli alitoa utabiri huo na ilikuwa Dtv au channel 10 alikuwa na kipindi nilikiona wakati huo ilikuwa mida ya Kati ya Saa 2-3 usiku
 
Duuh
 
Mhu! Nilikuwa nafuatilia uchaguzi wa India na Africa Kusini nikajifunza kwamba vyama vikongwe duniani vinaendelea kupoteza 'mass support' nadhani kwa sababu ya kwamba 'mwenye shibe hamjui mwenye njaa'.
Dunia imeingia kipindi kipya hivyo mabadiliko ya kiuongozi siyo sulala la mwanadamu kutaka hapana ni kwamba katika ratiba ya Mungu nyakati hizi mabadiliko ya uongozi ni lazima ili Mungu atimize makusudi yake.
 
Hujui kusoma au ulisomea chini ya mti kwa kutumia vitabu vyenye maandishi makubwa na picha za rangi rangi kwa hiyo ukiandikiwa vitu kwenye screen ndogo bila kuweka picha au video huwezi kusoma na kuelewa?
Weka video kwa ushahidi wa usemacho
 


Fake news
 
Tunamuomba huyo kwny Uzi wetu pendwa wa kubeti atusaidie kumfilisi kanji
 
Weka video kwa ushahidi wa usemacho
Kwa vile unaonyesha hujui kusoma ndiyo maana huelewi nilichoandika; badala yake unataka video nikuonyeshe video ya nisemacho, ambapo iwapo ungekuwa unajua kusoma ungeniomba ama reference au link ya source.

Kwa usomi wako umeleelewa kuwa nimeandika niliyoona badala ya kuelewa kuwa nimeandika niliysoma sehemu nyingine. Huo ndio ujinga mkubwa sana unaokusumbua wa kutoajua kusoma, na inaturudia tena kama taifa iwapo mtu kama wewe unapewa kusaini mkataba kwa niaba ya nchi, utaanguka wino bila kujua kimeandikwa nini ndani ya mkataba huo
 
Mkuu unaweza kutupa link ya article tukasome?
 
Mkuu unaweza kutupa link ya article tukasome?
Kwa nini. Hiyo iliandikwa miaka minne iliyopita una taka nikutafutie linki tena leo kwa Faisal gani? Ungefanya hivyo siku nilipoileta lakini siyo baada ya miaka min nne. Siwezi kupoteza muda wangu kukutafutia habari za zamani bila kuwa na matumizi ya maana nazo.

Karibu mwenyewe kuserch kwenye archives za global publisherstz.com. Ukiweza, Tunis makina yalıyı andık wa kwenye makala hiyo kama keywords.
 

Kwa hiyo ujumbe mkuu hapa ni upi labda?
 
Mkuu unaweza kutupa link ya article tukasome?
Haya; nimeipata link yenewe ni hiyo. Nadhani itakusaidia kuelea vizuri kuliko nukuu niliyokuwa nimeleta


 
Kuna mhariri kipindi akiwa kijana alikutana nae msikitini baada ya kumaliza kuswali.Alimwambia ampe mkono wake aungalie,anasema alimwambia atasafiri nchi nyingi duniani na kweli ikawa vile kama alivyotabiri.Hawa wanatabiri sijui wanatumia namba au majini I don't know lakini vitu vyao vingi huwa vya kweli
 
Chadema ilizingua sana 2015,raia walijutoa sana, mbowe akaleta ufala.
 
Natamani mabadiliko yapatikane lakini pia sioni wa kubadili huko upinzani au kama vipi tubeti tu, tuwajaribu na wao.

Kuhusu hiyo meme, hakuna ushahidi kuwa alisema sheikh yahaya, hilo moja pili hata kama kasema siamini mpaka itokee
Ipo video nadhani kama sio Audio alipokuwa anayatamka hayo mautabiri yake. Ni kweli ilikuwa mwaka 2006. Internet ilikuwepo ila social network ukiacha Facebook, Myspace, hakukuwa na zingine za maana nazo hazikuwa hazijawa social media bado kama za sasa.
 
Mkuu unaweza kutupa link ya article tukasome?
Nilikuwekea link lakini sijaona acknowldgement yoyote kutoka kwako; unaweza kuthibitisha kuwa link inafanya kazi na hiyo quote niliyoripoti hapo juu ni sahihi kulingana na ilivyoandikwa kwenye link hiyo?
 
Siku hizi hawapo! Wamebaki akina mwafposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…