kalee vitukuu jamii forums imekushinda.BINAFSI YANGU NIKISOMA NYUZI KAMA HIZI NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIPA AKILI.
ASANTE MUNGU KWA KUNIPA AKILI.
sasa ww una tofauti gani na wanao bet mikeka kila siku hata wao wakibeti wanapata hisia kama zako kwba timu fulani itashinda kwa ww kubahatisha mara moja ukapatia ni sawa na kubet tu hauna maajabu yoyote hata haya matokeo uliyosema hapo juu ni kama umebet kama wengine tu hivyo tulia subiri matokeo ya mechi ujue kama mkeka wako umetick au umelost..na sio kujidai eti uhakika kumbe nawe unabet kama wenzako maana ni wengi wanabashiri matokeo na wanapatiaAhadi ya nini na uzi huu hapa uhakika?
Mimi nilitabiri mtakula kono la nyani kwenye uzi ule na ikatokea kweli sijawahi kufeli
Haujasema kama wenzako, kuwa isipotokea hivyo uliwe YasI salute you kinsmen.
Huu ni utabiri halali kabisa wa game zote za Simba na Yanga
Yanga atashinda goli 4
Aziz Ki moja, Mzize moja, Dube, Pacome moja,
Simba watakandwa 3-1
Goli moja la penati baunsa Ateba atafunga .
Yanga atachezea goli tano,kama una beti weka pesa bibieI salute you kinsmen.
Huu ni utabiri halali kabisa wa game zote za Simba na Yanga
Yanga atashinda goli 4
Aziz Ki moja, Mzize moja, Dube, Pacome moja,
Simba watakandwa 3-1
Goli moja la penati baunsa Ateba atafunga .
BINAFSI YANGU NIKISOMA NYUZI KAMA HIZI NAMSHUKURU MUNGU KWA KUNIPA AKILI.
ASANTE MUNGU KWA KUNIPA AKILI.
Wewe jamaa unachekesha sana hivi unafikiri kila unachotamani wewe kiwe ndio inakuwa utabiri??Niamini mkuu weka mkeka yaani lazima utick tabiri zangu huwa zinatokea.
Kafatilie uzi ule wa yanga 5 simba 1
Nilitabiri mule kuhusu kipigo hicho kabla hata ya mechi kuanza na ikatokea kweli nenda page za mwanzo
SawaYanga atashinda goli 4. Simba watakandwa 3-1
Isipotokea hivyo niliwe ndogo
Vua hicho kinyago, tumeshajua wewe ni engineer hersiI salute you kinsmen.
Huu ni utabiri halali kabisa wa game zote za Simba na Yanga
Yanga atashinda goli 4
Aziz Ki moja, Mzize moja, Dube, Pacome moja,
Simba watakandwa 3-1
Goli moja la penati baunsa Ateba atafunga .
Mmeshaingia tayari hahaManeno ya mkosaji yahga anaenda kushika top 5 vichaka vinafyekwa