Utabiri wa ukweli: Yanga atashinda 4-0 na Simba atakandwa 3-1

Utabiri wa ukweli: Yanga atashinda 4-0 na Simba atakandwa 3-1

Ahadi ya nini na uzi huu hapa uhakika?

Mimi nilitabiri mtakula kono la nyani kwenye uzi ule na ikatokea kweli sijawahi kufeli
sasa ww una tofauti gani na wanao bet mikeka kila siku hata wao wakibeti wanapata hisia kama zako kwba timu fulani itashinda kwa ww kubahatisha mara moja ukapatia ni sawa na kubet tu hauna maajabu yoyote hata haya matokeo uliyosema hapo juu ni kama umebet kama wengine tu hivyo tulia subiri matokeo ya mechi ujue kama mkeka wako umetick au umelost..na sio kujidai eti uhakika kumbe nawe unabet kama wenzako maana ni wengi wanabashiri matokeo na wanapatia
 
I salute you kinsmen.

Huu ni utabiri halali kabisa wa game zote za Simba na Yanga

Yanga atashinda goli 4
Aziz Ki moja, Mzize moja, Dube, Pacome moja,

Simba watakandwa 3-1

Goli moja la penati baunsa Ateba atafunga .
Haujasema kama wenzako, kuwa isipotokea hivyo uliwe Yas
 
I salute you kinsmen.

Huu ni utabiri halali kabisa wa game zote za Simba na Yanga

Yanga atashinda goli 4
Aziz Ki moja, Mzize moja, Dube, Pacome moja,

Simba watakandwa 3-1

Goli moja la penati baunsa Ateba atafunga .
Yanga atachezea goli tano,kama una beti weka pesa bibie
 
Niamini mkuu weka mkeka yaani lazima utick tabiri zangu huwa zinatokea.

Kafatilie uzi ule wa yanga 5 simba 1
Nilitabiri mule kuhusu kipigo hicho kabla hata ya mechi kuanza na ikatokea kweli nenda page za mwanzo
Wewe jamaa unachekesha sana hivi unafikiri kila unachotamani wewe kiwe ndio inakuwa utabiri??
 
I salute you kinsmen.

Huu ni utabiri halali kabisa wa game zote za Simba na Yanga

Yanga atashinda goli 4
Aziz Ki moja, Mzize moja, Dube, Pacome moja,

Simba watakandwa 3-1

Goli moja la penati baunsa Ateba atafunga .
Vua hicho kinyago, tumeshajua wewe ni engineer hersi
 
Back
Top Bottom