Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
HahahaWeka video ,tuone kama ni yeye alisema kweli au ni mabandiko tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaWeka video ,tuone kama ni yeye alisema kweli au ni mabandiko tu
Wanasema mganga hajigangiMbona hakujua siku yake ya kufa
bado mama hajamalizia miaka yake 5 mingine! Akimaliza hiyo, 2030 ndio upinzani watakua na nguvu.Events zinaonesha
Atachukua kwa kishindo! akimaliza miaka yake 5 ndio upinzani watakua wameshajiandaa vilivyo hiyo ni 2030Hapana, 2025 huyo bibi hawezi kutawala.
We nae kenge kweli. Hujui kuwa hata Manabii waliopita pamoja na kutabiri mambo mengi, hawakuwahi kujua lini watakufa?Mbona hakujua siku yake ya kufa
Baada ya Kikwete hakuja Magufuli (akiwa na specifications zote zilizotajwa)?Afrika tunawaamini sana wachawi,ndio maana tupo nyuma
You nailed it. Uzanzibara jumlisha DP World na Ngorongoro saga.Kitakachoupa upimzani. Ni uzanzibara
This should be played at high volume.Afrika tunawaamini sana wachawi,ndio maana tupo nyuma
SawaWapinzani uchwara ndo kwanza wanagombana wao Kwa wao