Utabiri wako kwenye mechi kati ya Simba na Kaezar chiefs ni upi?

Lakini kwenye ligi yao hawapo nafasi nzuri sana,
Ligi ya sauz huwezi linganisha na ligi ya bongo mzee kwa hiyo nafasi ya 9 waliokuwa nayo huko sauz ukiiconvert ni sawasawa nafasi ya 2 kwenye ligi ya bongo
 
Kaiza kwao anakufa goli mbili kavu.
Kwa Mkapa anakufa tatu kavu.
Hii ni kuwapa salam malalamiko f.c waone kuwa kipigo kutoka kwa mnyama hakiepukiki.
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…