Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ligi ya sauz huwezi linganisha na ligi ya bongo mzee kwa hiyo nafasi ya 9 waliokuwa nayo huko sauz ukiiconvert ni sawasawa nafasi ya 2 kwenye ligi ya bongoLakini kwenye ligi yao hawapo nafasi nzuri sana,
Msije sema sikuwaambia Kabla. 4G ndiyo hiyo na dakika bado 15Simba leo anapigwa 4G Hamtaamini. Na ndiyo mtafahamu kwamba Gomez hana tofauti na Uchebe
Tumeona kaka........Kaizer 1-2 Simba, First half Draw/Fulltime Simba
Wacha weeee...
🤣🤣🤣🤣🤣Kaiza kwao anakufa goli mbili kavu.
Kwa Mkapa anakufa tatu kavu.
Hii ni kuwapa salam malalamiko f.c waone kuwa kipigo kutoka kwa mnyama hakiepukiki.
Perfect.👍👍Kaizer Chiefs 4. Simba 0
Kaka salama hapo ulipo.Kaizer Chief hawezi kutoboa kwa mnyama Simba.
Hii Simba labda icheze na Barcelona ndio itatolewa, sio hawa wakina Al Ahly na Mamelodi.
🤣🤣🤣🤣 sijui una hali gani hivi sasa.Keizer 1-3 Simba
Kaiza kwao anakufa goli mbili kavu.
Kwa Mkapa anakufa tatu kavu.
Hii ni kuwapa salam malalamiko f.c waone kuwa kipigo kutoka kwa mnyama hakiepukiki.
Kaizer Chief hawezi kutoboa kwa mnyama Simba.
Hii Simba labda icheze na Barcelona ndio itatolewa, sio hawa wakina Al Ahly na Mamelodi.
ahahahaKaizer Chiefs 4. Simba 0
Kaizer Chiefs 4. Simba 0
mkuu vp rudi uone chuki sasaDaah nne tena bila kwa Simba hii, hizi ni chuki binafsi
Ww jamaa ni shida kinoma.Kaizer Chiefs 4. Simba 0
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NyieeHata aje Bayern atakula 4Gkea Simba hii. Huyo Kaizer Chiefs kama mtoto wa chekechea tu. Give moya!
AiseeeKaizer Chiefs 4. Simba 0
Dah.. Mkuu wewe mchawiKaizer Chiefs 4. Simba 0