Utabiri: ''Wanangu TFF, Yanga, Simba Mkayamalize" Kisha Naomba mnialike kwenye Mechi, Nitakuja

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Mambo yameshakuwa Yamoto, Sasa baada ya Wizara, TFF na bodi ya Ligi kuushindwa mfupa wa Vigogo na mashabiki wa Yanga na Simba, sasa ni wakati wa Raia namba moja , mwenye nchi yake, kuingia na kutuliza mihemko ya wapenzi wa Soka.

Naamini Busara za Rais Samia , Zitatumika kuliokoa hili, na naamini litafanikiwa, ila iwe funzo jambo hili la TFF na Bodi ya Ligi kumkingia Kifua SIMBA Liwe mwanzo na mwisho, na pia Bodi ifuate kanuni ili tusiwe na room/chumba cha kuruhusu mambo haya. Na Timu ambayo itakosa ubingwa mwaka huu itazodolewa sana na itakuwa katika wakati mgumu sana kuliko timu hata zilizoshuka daraja.

Naamini na kutabiri, Mama Samia ataomba TFF, Simba na Yanga wakae na wakayatizame na kuyaangalia hayo yaliyowasibu, watu wameacha kufanya mambo muhimu wanashabikia ugomvi wa Bodi ya Ligi na Yanga
 
Kwakutumia jicho la 3 hili ni kaa la moto, itajulikana wazi kwamba baadhi ya viongozi wa serikali, (vigogo), Ndiyo waliosababisha litokee

Remote control imevunjika hili ni jambo la aibu, limefanywa na watu ambao uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kwasababu ya ubinafsi
 
Mambo yameshakuwa Yamoto, Sasa baada ya Wizara, TFF na bodi ya Ligi kuushindwa mfupa wa Vigogo na mashabiki wa Yanga na Simba, sasa ni wakati wa Raia namba moja , mwenye nchi yake, kuingia na kutuliza mihemko ya wapenzi wa Soka.

Naamini Busara za Rais Samia , Zitatumika kuliokoa hili, na naamini litafanikiwa, ila iwe funzo jambo hili la TFF na Bodi ya Ligi kumkingia Kifua SIMBA Liwe mwanzo na mwisho, na pia Bodi ifuate kanuni ili tusiwe na room/chumba cha kuruhusu mambo haya. Na Timu ambayo itakosa ubingwa mwaka huu itazodolewa sana na itakuwa katika wakati mgumu sana kuliko timu hata zilizoshuka daraja.

Naamini na kutabiri, Mama Samia ataomba TFF, Simba na Yanga wakae na wakayatizame na kuyaangalia hayo yaliyowasibu, watu wameacha kufanya mambo muhimu wanashabikia ugomvi wa Bodi ya Ligi na Yanga
Busara.....iweje ? Pointi 1 kila team ??
 
YANI HAPO RAIS ATATOA KAULI AMBAYO LABDA SLAA NA LISSU WANA GUTS ZA KUIPINGA
 
Ila yanga akili zao wao walisusa kucheza mechi kisa wameambiwa mechi itachezwa saa moja badala ya saa 11 yaani yanga akili zao.
 
Mambo yameshakuwa Yamoto, Sasa baada ya Wizara, TFF na bodi ya Ligi kuushindwa mfupa wa Vigogo na mashabiki wa Yanga na Simba, sasa ni wakati wa Raia namba moja , mwenye nchi yake, kuingia na kutuliza mihemko ya wapenzi wa Soka.
Nani amekwambia wameshindwa? Yanga si wameenda CAS? TFF si inasubiri uchunguzi ukamilike ipange tarehe?
 
Kuna kanuni alivunja kwa kususia hiyo mechi?
Hakuna kanuni walivunja ila wao walipokea maagizo kutoka juu kwamba mda huo kuna shughuli ya kiserikali inabidi mechi isogozwe mbele kuna vitu vingine tunawalaumu TFF ila mpira wetu Tanzania umeshikiliwa na wana siasa.
 
Chanzo cha mgogolo ni nani
 
Mambo yameshakuwa Yamoto, Sasa baada ya Wizara, TFF na bodi ya Ligi kuushindwa mfupa wa Vigogo na mashabiki wa Yanga na Simba, sasa ni wakati wa Raia namba moja , mwenye nchi yake, kuingia na kutuliza mihemko ya wapenzi wa Soka.

Naamini Busara za Rais Samia , Zitatumika kuliokoa hili, na naamini litafanikiwa, ila iwe funzo jambo hili la TFF na Bodi ya Ligi kumkingia Kifua SIMBA Liwe mwanzo na mwisho, na pia Bodi ifuate kanuni ili tusiwe na room/chumba cha kuruhusu mambo haya. Na Timu ambayo itakosa ubingwa mwaka huu itazodolewa sana na itakuwa katika wakati mgumu sana kuliko timu hata zilizoshuka daraja.

Naamini na kutabiri, Mama Samia ataomba TFF, Simba na Yanga wakae na wakayatizame na kuyaangalia hayo yaliyowasibu, watu wameacha kufanya mambo muhimu wanashabikia ugomvi wa Bodi ya Ligi na Yanga
Wakiyamaliza na wakikualia na mimi nisipoalikwa na kinukisha upyaaa
 
Back
Top Bottom