ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Kwakutumia jicho la 3 hili ni kaa la moto, itajulikana wazi kwamba baadhi ya viongozi wa serikali, (vigogo), Ndiyo waliosababisha litokeeMambo yameshakuwa Yamoto, Sasa baada ya Wizara, TFF na bodi ya Ligi kuushindwa mfupa wa Vigogo na mashabiki wa Yanga na Simba, sasa ni wakati wa Raia namba moja , mwenye nchi yake, kuingia na kutuliza mihemko ya wapenzi wa Soka.
Naamini Busara za Rais Samia , Zitatumika kuliokoa hili, na naamini litafanikiwa, ila iwe funzo jambo hili la TFF na Bodi ya Ligi kumkingia Kifua SIMBA Liwe mwanzo na mwisho, na pia Bodi ifuate kanuni ili tusiwe na room/chumba cha kuruhusu mambo haya. Na Timu ambayo itakosa ubingwa mwaka huu itazodolewa sana na itakuwa katika wakati mgumu sana kuliko timu hata zilizoshuka daraja.
Naamini na kutabiri, Mama Samia ataomba TFF, Simba na Yanga wakae na wakayatizame na kuyaangalia hayo yaliyowasibu, watu wameacha kufanya mambo muhimu wanashabikia ugomvi wa Bodi ya Ligi na Yanga
Busara.....iweje ? Pointi 1 kila team ??Mambo yameshakuwa Yamoto, Sasa baada ya Wizara, TFF na bodi ya Ligi kuushindwa mfupa wa Vigogo na mashabiki wa Yanga na Simba, sasa ni wakati wa Raia namba moja , mwenye nchi yake, kuingia na kutuliza mihemko ya wapenzi wa Soka.
Naamini Busara za Rais Samia , Zitatumika kuliokoa hili, na naamini litafanikiwa, ila iwe funzo jambo hili la TFF na Bodi ya Ligi kumkingia Kifua SIMBA Liwe mwanzo na mwisho, na pia Bodi ifuate kanuni ili tusiwe na room/chumba cha kuruhusu mambo haya. Na Timu ambayo itakosa ubingwa mwaka huu itazodolewa sana na itakuwa katika wakati mgumu sana kuliko timu hata zilizoshuka daraja.
Naamini na kutabiri, Mama Samia ataomba TFF, Simba na Yanga wakae na wakayatizame na kuyaangalia hayo yaliyowasibu, watu wameacha kufanya mambo muhimu wanashabikia ugomvi wa Bodi ya Ligi na Yanga
Rais halimuhusu hili bodi iwajibike kutokana na mujibu wa kanuni na sheria zilizowekwa!YANI HAPO RAIS ATATOA KAULI AMBAYO LABDA SLAA NA LISSU WANA GUTS ZA KUIPINGA
Bodi of course ivunjweRais halimuhusu hili bodi iwajibike kutokana na mujibu wa kanuni na sheria zilizowekwa!
Labda maza yule jirani yakoKwa taarifa yenu Maza ka punch hio kitu kasema wamalizane huko hataki kuhushishwa
Huyo huyoLabda maza yule jirani yako
Acha fix wewe lin kapunch, acha story za wanywa kahawaKwa taarifa yenu Maza ka punch hio kitu kasema wamalizane huko hataki kuhushishwa
SawaAcha fix wewe lin kapunch, acha story za wanywa kahawa
Nani amekwambia wameshindwa? Yanga si wameenda CAS? TFF si inasubiri uchunguzi ukamilike ipange tarehe?Mambo yameshakuwa Yamoto, Sasa baada ya Wizara, TFF na bodi ya Ligi kuushindwa mfupa wa Vigogo na mashabiki wa Yanga na Simba, sasa ni wakati wa Raia namba moja , mwenye nchi yake, kuingia na kutuliza mihemko ya wapenzi wa Soka.
Kuna kanuni alivunja kwa kususia hiyo mechi?Ila yanga akili zao wao walisusa kucheza mechi kisa wameambiwa mechi itachezwa saa moja badala ya saa 11 yaani yanga akili zao.
Hakuna kanuni walivunja ila wao walipokea maagizo kutoka juu kwamba mda huo kuna shughuli ya kiserikali inabidi mechi isogozwe mbele kuna vitu vingine tunawalaumu TFF ila mpira wetu Tanzania umeshikiliwa na wana siasa.Kuna kanuni alivunja kwa kususia hiyo mechi?
Chanzo cha mgogolo ni naniHakuna kanuni walivunja ila wao walipokea maagizo kutoka juu kwamba mda huo kuna shughuli ya kiserikali inabidi mechi isogozwe mbele kuna vitu vingine tunawalaumu TFF ila mpira wetu Tanzania umeshikiliwa na wana siasa.
Wakiyamaliza na wakikualia na mimi nisipoalikwa na kinukisha upyaaaMambo yameshakuwa Yamoto, Sasa baada ya Wizara, TFF na bodi ya Ligi kuushindwa mfupa wa Vigogo na mashabiki wa Yanga na Simba, sasa ni wakati wa Raia namba moja , mwenye nchi yake, kuingia na kutuliza mihemko ya wapenzi wa Soka.