George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Hehe...Asante mkuu kwa utabiri, unatakiwa ujue mtvmama sio afrimma, huku facts zinaongea tu, pengine ni kwel diamond angeweza kushinda tuzo hata moja ila kwa bahati yupo na mnyama starboy wizkidooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli wiz kid atakua male act na artist of the year atakua black coffee kumbuka wa south Africa watampa mtu wao ili kubalance mchezoWizkid hawezi shinda tuzo zaidi ya 2
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hehe...
Mnyama Wizkido...
Mnyama Wizkido yuko na nani Mtvema..!?
Acha kudangany wew kushine kwenye BET unamaanisha nin kwani huyo diamond hakuwepo kwenye hizo tunzo za BET....na huyo black offee hana anachojua so usitegemee kama atapata tunzo ya mtv na kama unakataa subir hizo siku 4 ziishe ndo ukumbuke maneno yanguHapana tunaangalia na miamba ya kwenye muziki wa Africa. Mwaka huu wizkid na black coffee wata shine maana walinza kushine kwenye BET
nyimbo nzuri lakini!Kuna ukwel ila sidhan kama unconditional bae inaweza kuchukua tuzo mbili at once.
Diamond alikuwepo ila walioshinda ni wizkid na black coffee hivi black coffee unamjua vizuri nadhani muziki huu wa Africa huujui vizuri aiseeAcha kudangany wew kushine kwenye BET unamaanisha nin kwani huyo diamond hakuwepo kwenye hizo tunzo za BET....na huyo black offee hana anachojua so usitegemee kama atapata tunzo ya mtv na kama unakataa subir hizo siku 4 ziishe ndo ukumbuke maneno yangu
fine lakin kuna nzuri nyengne pia.nyimbo nzuri lakini!
Song of year kuna
Patoranking- my woman my everything
Korrede bello- Godwin
Emtee ft wizkid -- Roll up
Olamide --- shikiti bobo
Harrysong--- Reggue blues
Sauti sol --- unconditional bae
Kutabiri uncondional bae kushinda hapa inaitaji roho ngumu kama ya lipumba
halafu ujue wanaweza wakashindwa wote wawili akashinda mwingine..Asante mkuu kwa utabiri, unatakiwa ujue mtvmama sio afrimma, huku facts zinaongea tu, pengine ni kwel diamond angeweza kushinda tuzo hata moja ila kwa bahati yupo na mnyama starboy wizkidooo
Mtoa post kashindwa kuficha hisia zake kwa msanii wake anayempenda na kuonyesha chuki dhahiri kwa msanii anayechuana naye bongo.
Ali Kibaka akishinda tunzo zote ulizo tabiri hapo nipo tayari kupigwa risas mbele ya waandishi wa habari!!
Wizkid??Diamond alikuwepo ila walioshinda ni wizkid na black coffee hivi black coffee unamjua vizuri nadhani muziki huu wa Africa huujui vizuri aisee
Pia kumbuka male act na female act wa mwaka huu hawatatoka east Bali ni south na west angalia na kazi zao hapo
Ila jumamosi sio mbali tutaona tu
Hehe...
Mnyama Wizkido...
Mnyama Wizkido yuko na nani Mtvema..!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli wiz kid atakua male act na artist of the year atakua black coffee kumbuka wa south Africa watampa mtu wao ili kubalance mchezo