Utabiri wangu, Hawa ndiyo washindi wa MtvMama Awards 2016

Utabiri wangu, Hawa ndiyo washindi wa MtvMama Awards 2016

Asante mkuu kwa utabiri, unatakiwa ujue mtvmama sio afrimma, huku facts zinaongea tu, pengine ni kwel diamond angeweza kushinda tuzo hata moja ila kwa bahati yupo na mnyama starboy wizkidooo
Hehe...
Mnyama Wizkido...
Mnyama Wizkido yuko na nani Mtvema..!?
 
Wizkid hawezi shinda tuzo zaidi ya 2
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli wiz kid atakua male act na artist of the year atakua black coffee kumbuka wa south Africa watampa mtu wao ili kubalance mchezo
 
Hapana tunaangalia na miamba ya kwenye muziki wa Africa. Mwaka huu wizkid na black coffee wata shine maana walinza kushine kwenye BET
Acha kudangany wew kushine kwenye BET unamaanisha nin kwani huyo diamond hakuwepo kwenye hizo tunzo za BET....na huyo black offee hana anachojua so usitegemee kama atapata tunzo ya mtv na kama unakataa subir hizo siku 4 ziishe ndo ukumbuke maneno yangu
 
Diamond alikuwepo ila walioshinda ni wizkid na black coffee hivi black coffee unamjua vizuri nadhani muziki huu wa Africa huujui vizuri aisee

Pia kumbuka male act na female act wa mwaka huu hawatatoka east Bali ni south na west angalia na kazi zao hapo

Ila jumamosi sio mbali tutaona tu
 
Song of year kuna
Patoranking- my woman my everything

Korrede bello- Godwin
Emtee ft wizkid -- Roll up

Olamide --- shikiti bobo

Harrysong--- Reggue blues

Sauti sol --- unconditional bae

Kutabiri uncondional bae kushinda hapa inaitaji roho ngumu kama ya lipumba
 
Ali Kibaka akishinda tunzo zote ulizo tabiri hapo nipo tayari kupigwa risas mbele ya waandishi wa habari!!

Asante mkuu kwa utabiri, unatakiwa ujue mtvmama sio afrimma, huku facts zinaongea tu, pengine ni kwel diamond angeweza kushinda tuzo hata moja ila kwa bahati yupo na mnyama starboy wizkidooo
halafu ujue wanaweza wakashindwa wote wawili akashinda mwingine..
 
Mtoa post kashindwa kuficha hisia zake kwa msanii wake anayempenda na kuonyesha chuki dhahiri kwa msanii anayechuana naye bongo.

Hapana mkuu nimetaza hizi tuzo kwa jicho la uhalisia.
 
Diamond alikuwepo ila walioshinda ni wizkid na black coffee hivi black coffee unamjua vizuri nadhani muziki huu wa Africa huujui vizuri aisee

Pia kumbuka male act na female act wa mwaka huu hawatatoka east Bali ni south na west angalia na kazi zao hapo

Ila jumamosi sio mbali tutaona tu
Wizkid??
Yemi alade yupo nominated BET mara ngap?
 
Hehe...
Mnyama Wizkido...
Mnyama Wizkido yuko na nani Mtvema..!?

Mkuu wizkid ni mbwa tu mbele ya Kingkiba, wiz mziki hajui yule sema mnampa promo nyingi, kwahyo Mtvema ni uhakika King atamchapa wiz na babu yake yule black coffee saa 2 asubuhi, inshort wizkid ataendelea kuwaonea underground wenzie wakina diamond, but kwa king wiz mshenzi tu hana kitu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli wiz kid atakua male act na artist of the year atakua black coffee kumbuka wa south Africa watampa mtu wao ili kubalance mchezo

Huyu black coffee sijui alitokea wapi, niseseme uongo huyu jamaa mziki wake si uelew kabisa, ashukuru BET alikutana na wachovu wenzie wakna Mondy, maana ajiandae kuliwa kichwa na King kwenye Mtvema.
 
Wabongo bana....Yani mtu katabiri watu wanaanza kutoa povu...Tena kasema wazi kuwa ni UTABIRI WAKE....Sasa si na nyie mtabiri vyenu tu yaishe
 
Labda waimbaji wachukue majina ya manesi na madaktari
 
Muogope mungu eti Wizkid mchovu mbele ya Kiba duuu kweli mashabiki wa kiba ndio wanaommaliza Kiba kwa kumpandisha.
 
Back
Top Bottom