Utabiri wangu kuhusu Report ya Chande kuhusu 29/10/2025 ✍🏻

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
CHADEMA imeguswa na viongozi wake !

Polisi wamezungumziwa kwa uchache sana kana kwamba hawahusiki na mauaji,

Na uongo Mwingine ni kwamba walio uwa watanzania walikodiwa kutoka nje si Polisi wa ndani

Samia hatatajwa popote kwa Kauli zake za kwamba mi ndo amiri jeshi mkuu naweza fanya chochote

Kuna wanasiasa watapigwa marufuku kufanya siasa kwa miaka kadhaa kwa kuonewa tu

Kuna kampuni itatajwa kwamba ndo ili fund maandamano

Wanaharakati hasa wa Twitter na Instagram kama Sativa! Mange Kimambi na Maria Sarungi watasingiziwa kwa mengi kwenye report feki hiyo

JamiiForums watawagusa baadhi Ila si sana Kwakuwa JF ma Great thinker wengi sana wanatoa maoni kwa njia ambayo si rahisi kuwatambua

NI UTABIRI WANGU KUHUSU REPORT HYO

NASISITIZA NI UTABIRI WANGU ….

Britanicca
 
Ile ya ukweli ilitupwa kule. ikaambiwa kalete hii hapa.
 
Ni tamthiliya ambayo ukitazama trela tu, unajua mwanzo mpaka mwisho ingekuwaje
Mambo ya kusikitisha wakijitahidi wanaweza jifanya wanawajibisha mtu mmoja tu napo kaa kumuhamisha kitengo!
 
CHADEMA imeguswa na viongozi wake !

Polisi wamezungumziwa kwa uchache sana kana kwamba hawahusiki na mauaji,

Na uongo Mwingine ni kwamba walio uwa watanzania walikodiwa kutoka nje si Polisi wa ndani

Samia hatatajwa popote kwa Kauli zake za kwamba mi ndo amiri jeshi mkuu naweza fanya chochote

Kuna wanasiasa watapigwa marufuku kufanya siasa kwa miaka kadhaa kwa kuonewa tu

Kuna kampuni itatajwa kwamba ndo ili fund maandamano

Wanaharakati hasa wa Twitter na Instagram kama Sativa! Mange Kimambi na Maria Sarungi watasingiziwa kwa mengi kwenye report feki hiyo

JamiiForums watawagusa baadhi Ila si sana Kwakuwa JF ma Great thinker wengi sana wanatoa maoni kwa njia ambayo si rahisi kuwatambua

NI UTABIRI WANGU KUHUSU REPORT HYO

NASISITIZA NI UTABIRI WANGU ….

Britanicca
61c8f305-3a46-4732-a1be-7f437ce6bc6b.jpeg

JamiiForums watawagusa baadhi Ila si sana Kwakuwa JF ma Great thinker wengi sana wanatoa maoni kwa njia ambayo si rahisi kuwatambua
 
Hakuna mwenye akili timamu anaekaa kusubiri huo upumbavu unaitwa TUME maana kila mtu anajua Chande ni Dodoki au Dekio la kusafisha watu kasoma mambo ya criminal law kama sijakosea yuko pale kama dekio hiyo tume haina credibility yoyote maana mtuhumiwa number moja ndo kateua TUME
 
Naongezea hii.

"Wananachi walivamia vituo vya policcm na kuiba bunduki ambazo ndio walizitumia kupiga watu risasi mitaani."

Na kwakua hata kabla hilo genge la wastaafu wa CCM halijatoa hicho kipeperushi chao wanachoita ripoti watu wenye timamu tulishatambua watakachokuja nacho hivyo tumelipuuza hili genge tangu mwanzo.
 
Naongezea hii.

Wananachi walivamia vituo vya policcm na kuiba bunduki ambazo ndio walizitumia kupiga watu risasi mitaani.

Na kwakua hata kabla hilo genge la wastaafu wa CCM halijatoa hicho kipeperushi chao wanachoita ripoti watu wenye timamu tulishatambua watakachokuja nacho hivyo tumelipuuza hili genge tangu mwanzo.
Hakika
 
NI UTABIRI WANGU KUHUSU REPORT HYO
Hii najua ilikuwa inatumika kama kinga kwa wale watu wa kimataifa!! Uchunguzi wetu ni huu!!!!!! Wale wa kimataifa wataikubali???

Au ndiyo wameelewana tayari?? Coz kinachoangaliwa zaidi ni maslahi na siyo uhai!! Kinachonitisha sasa hivi ni hii clean up!!!!!!!!!!!!
 
Ripoti?...hahaha...
Kuhusu nini?....hebu acheni utani....
 
CHADEMA imeguswa na viongozi wake !

Polisi wamezungumziwa kwa uchache sana kana kwamba hawahusiki na mauaji,

Na uongo Mwingine ni kwamba walio uwa watanzania walikodiwa kutoka nje si Polisi wa ndani

Samia hatatajwa popote kwa Kauli zake za kwamba mi ndo amiri jeshi mkuu naweza fanya chochote

Kuna wanasiasa watapigwa marufuku kufanya siasa kwa miaka kadhaa kwa kuonewa tu

Kuna kampuni itatajwa kwamba ndo ili fund maandamano

Wanaharakati hasa wa Twitter na Instagram kama Sativa! Mange Kimambi na Maria Sarungi watasingiziwa kwa mengi kwenye report feki hiyo

JamiiForums watawagusa baadhi Ila si sana Kwakuwa JF ma Great thinker wengi sana wanatoa maoni kwa njia ambayo si rahisi kuwatambua

NI UTABIRI WANGU KUHUSU REPORT HYO

NASISITIZA NI UTABIRI WANGU ….

Britanicca
Yote yanawezekana by 100%
 
Back
Top Bottom