CHADEMA imeguswa na viongozi wake !
Polisi wamezungumziwa kwa uchache sana kana kwamba hawahusiki na mauaji,
Na uongo Mwingine ni kwamba walio uwa watanzania walikodiwa kutoka nje si Polisi wa ndani
Samia hatatajwa popote kwa Kauli zake za kwamba mi ndo amiri jeshi mkuu naweza fanya chochote
Kuna wanasiasa watapigwa marufuku kufanya siasa kwa miaka kadhaa kwa kuonewa tu
Kuna kampuni itatajwa kwamba ndo ili fund maandamano
Wanaharakati hasa wa Twitter na Instagram kama Sativa! Mange Kimambi na Maria Sarungi watasingiziwa kwa mengi kwenye report feki hiyo
JamiiForums watawagusa baadhi Ila si sana Kwakuwa JF ma Great thinker wengi sana wanatoa maoni kwa njia ambayo si rahisi kuwatambua
NI UTABIRI WANGU KUHUSU REPORT HYO
NASISITIZA NI UTABIRI WANGU ….
Britanicca