britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Mambo ya kusikitisha wakijitahidi wanaweza jifanya wanawajibisha mtu mmoja tu napo kaa kumuhamisha kitengo!Ni tamthiliya ambayo ukitazama trela tu, unajua mwanzo mpaka mwisho ingekuwaje
CHADEMA imeguswa na viongozi wake !
Polisi wamezungumziwa kwa uchache sana kana kwamba hawahusiki na mauaji,
Na uongo Mwingine ni kwamba walio uwa watanzania walikodiwa kutoka nje si Polisi wa ndani
Samia hatatajwa popote kwa Kauli zake za kwamba mi ndo amiri jeshi mkuu naweza fanya chochote
Kuna wanasiasa watapigwa marufuku kufanya siasa kwa miaka kadhaa kwa kuonewa tu
Kuna kampuni itatajwa kwamba ndo ili fund maandamano
Wanaharakati hasa wa Twitter na Instagram kama Sativa! Mange Kimambi na Maria Sarungi watasingiziwa kwa mengi kwenye report feki hiyo
JamiiForums watawagusa baadhi Ila si sana Kwakuwa JF ma Great thinker wengi sana wanatoa maoni kwa njia ambayo si rahisi kuwatambua
NI UTABIRI WANGU KUHUSU REPORT HYO
NASISITIZA NI UTABIRI WANGU β¦.
Britanicca
HakikaIle ya ukweli ilitupwa kule. ikaambiwa kalete hii hapa.
HakikaNaongezea hii.
Wananachi walivamia vituo vya policcm na kuiba bunduki ambazo ndio walizitumia kupiga watu risasi mitaani.
Na kwakua hata kabla hilo genge la wastaafu wa CCM halijatoa hicho kipeperushi chao wanachoita ripoti watu wenye timamu tulishatambua watakachokuja nacho hivyo tumelipuuza hili genge tangu mwanzo.
Hii najua ilikuwa inatumika kama kinga kwa wale watu wa kimataifa!! Uchunguzi wetu ni huu!!!!!! Wale wa kimataifa wataikubali???NI UTABIRI WANGU KUHUSU REPORT HYO
Yote yanawezekana by 100%CHADEMA imeguswa na viongozi wake !