Utabiri wangu kuhusu Report ya Chande kuhusu 29/10/2025 ✍🏻

Hata Kitima anaweza kuwa implicated yalivyo ya hovyo majitu mazima na mvi!
 
Tayari
 
Mdaa upi nambie CHADEMA walihamasisha vurugu kivipi kuna kiongozi alisema tuandamane??
Ushahidi upo Heche akipigilia msumari kauli ya Lissu kwa kusema uchaguzi hautafanyika kabisa.

Lissu aliapa kwamba CHADEMA watakinukisha siku hiyo ya October 29.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…