Utabiri wangu kwa timu za Simba na Yanga kabla ya msimu kuisha

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Kwa muelekeo ninaouna
✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi...
✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya Namungo...
✓ Mechi zote Simba alizoshinda MOYA BILA ( according to Mwnyi Zahera), Yanga anakwenda kutoa sare au kipigo...

MUDA NI RAFIKI MZURI!
 
Kwa muelekeo ninaouna
✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi....
Sawa shekh yahya, unakariri mpira haupo hivyo. Kwanza utambue Yanga hakuwahi kumfunga Namungo. La pili ni kwamba mpira hauna huo fomula kama ulivyoandika.

Yanga anaweza kushinda kwa timu iliyotoa sare au kumfunga simba. Na pia Simba anaweza kushinda kwa timu iliyotoka kumfunga Yanga. Prison alimsumbua Simba lakini kwa Yanga akatulizwa. Labda ungeongea kiufundi zaidi kuliko kutabiri kwa hisia zako
 
Sawa shekh yahya, unakariri mpira haupo hivyo. Kwanza utambue Yanga hakuwahi kumfunga Namungo. La pili ni kwamba mpira hauna huo fomula kama ulivyoandika. Yanga anaweza kushinda kwa timu iliyotoa sare au kumfunga simba. Na pia Simba anaweza kushinda kwa timu iliyotoka kumfunga Yanga. Prison alimsumbua Simba lakini kwa Yanga akatulizwa. Labda ungeongea kiufundi zaidi kuliko kutabiri kwa his
Sometimes historia haijirudiagi
 
Kwa vituko alivyovifanya Refa wa mechi ya Namungo na Yanga. Tayari nimebaini kuwa Matokeo ya nani ashinde huwa ni maamuzi ya Refarii. Hivyo hata hiki ulichokiandika inawezekana ikawa kweli au kikakaribiana na ukweli.
 
Kwa muelekeo ninaouna
✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi...
✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya Namungo...
✓ Mechi zote Simba alizoshinda MOYA BILA ( according to Mwnyi Zahera), Yanga anakwenda kutoa sare au kipigo...

MUDA NI RAFIKI MZURI!
✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya Namungo...[emoji322][emoji323][emoji322][emoji323]
 
Matokeo hayawi determined kiivo mkuu.

Kwenye mpira hamnaga crossing multiplication,eti kwakua huyu ali draw na Huyu basi huyu atafungwa na huyu.

Ni miaka mitatu sasa simba hapati matokeo mazuri kwa prisons lakini yanga anapata vizuri tu.

Vile vile yanga kwa Namungo ila simba huwa anashinda.

Ukiamua kuongelea mambo ya mpira unatakiwa uache mahaba na kuongelea relevance.

Football is an art.
 
Sawa shekh yahya, unakariri mpira haupo hivyo. Kwanza utambue Yanga hakuwahi kumfunga Namungo. La pili ni kwamba mpira hauna huo fomula kama ulivyoandika.

Yanga anaweza kushinda kwa timu iliyotoa sare au kumfunga simba. Na pia Simba anaweza kushinda kwa timu iliyotoka kumfunga Yanga. Prison alimsumbua Simba lakini kwa Yanga akatulizwa. Labda ungeongea kiufundi zaidi kuliko kutabiri kwa hisia zako
Kwani amekuambia hiyo ni formula??mbona unamuwekea mwenzako maneno hajatamka??Yeye katabiri wewe subiri muda useme kama alivyohitimisha
 
Matokeo hayawi determined kiivo mkuu.

Kwenye mpira hamnaga crossing multiplication,eti kwakua huyu ali draw na Huyu basi huyu atafungwa na huyu.

Ni miaka mitatu sasa simba hapati matokeo mazuri kwa prisons lakini yanga anapata vizuri tu.

Vile vile yanga kwa Namungo ila simba huwa anashinda.

Ukiamua kuongelea mambo ya mpira unatakiwa uache mahaba na kuongelea relevance.

Football is an art.
Achana nae huyo bwamdogo. Hapo ametulia ukumbini kwa shemeji yake, ameshika Itel yake anabofya bofya tu. Anasubiri shemeji yake arudi amle dadake.
 
Dadake aliwe ndiyo naye apate kula
 
Nyie ndo mnaweka bonding wake zenu na baada ya mechi wanaliwa kimasihara.
 
Achana nae huyo bwamdogo. Hapo ametulia ukumbini kwa shemeji yake, ameshika Itel yake anabofya bofya tu. Anasubiri shemeji yake arudi amle dadake.
Nawe pia umepost. Ili tu usipitwe. Si ajabu umerudia mara mbili mbili kusoma ili kujiridhisha. Umakini yani.
 
Achana nae huyo bwamdogo. Hapo ametulia ukumbini kwa shemeji yake, ameshika Itel yake anabofya bofya tu. Anasubiri shemeji yake arudi amle dadake.
Nawe pia umepost. Ili tu usipitwe. Si ajabu umerudia mara mbili mbili kusoma ili kujiridhisha. Umakini yani.
 
Kwa muelekeo ninaouna
✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi...
✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya Namungo...
✓ Mechi zote Simba alizoshinda MOYA BILA ( according to Mwnyi Zahera), Yanga anakwenda kutoa sare au kipigo...

MUDA NI RAFIKI MZURI!
Sawa...mimi utabiri wangu top 3 msimu huu

1.Yanga
2.Azam
3.Simba
 
Back
Top Bottom