Bukali
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,264
- 835
Si ndio magoli yote ya Yanga marefa huwa wanapiga wao golini.Kwa vituko alivyovifanya Refa wa mechi ya Namungo na Yanga. Tayari nimebaini kuwa Matokeo ya nani ashinde huwa ni maamuzi ya Refarii. Hivyo hata hiki ulichokiandika inawezekana ikawa kweli au kikakaribiana na ukweli.