Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Mbeya city bado hajachza na Yanga mkuuMmeisikia Mbeya City lakini?
Sawa shekh yahya, unakariri mpira haupo hivyo. Kwanza utambue Yanga hakuwahi kumfunga Namungo. La pili ni kwamba mpira hauna huo fomula kama ulivyoandika.Kwa muelekeo ninaouna
✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi....
Sometimes historia haijirudiagiSawa shekh yahya, unakariri mpira haupo hivyo. Kwanza utambue Yanga hakuwahi kumfunga Namungo. La pili ni kwamba mpira hauna huo fomula kama ulivyoandika. Yanga anaweza kushinda kwa timu iliyotoa sare au kumfunga simba. Na pia Simba anaweza kushinda kwa timu iliyotoka kumfunga Yanga. Prison alimsumbua Simba lakini kwa Yanga akatulizwa. Labda ungeongea kiufundi zaidi kuliko kutabiri kwa his
Yanga ndio litakataka gani tena?Mbeya city bado hajachza na Yanga mkuu
✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya Namungo...[emoji322][emoji323][emoji322][emoji323]Kwa muelekeo ninaouna
✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi...
✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya Namungo...
✓ Mechi zote Simba alizoshinda MOYA BILA ( according to Mwnyi Zahera), Yanga anakwenda kutoa sare au kipigo...
MUDA NI RAFIKI MZURI!
Pamoja Sana kaka✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya Namungo...[emoji322][emoji323][emoji322][emoji323]
Kwani amekuambia hiyo ni formula??mbona unamuwekea mwenzako maneno hajatamka??Yeye katabiri wewe subiri muda useme kama alivyohitimishaSawa shekh yahya, unakariri mpira haupo hivyo. Kwanza utambue Yanga hakuwahi kumfunga Namungo. La pili ni kwamba mpira hauna huo fomula kama ulivyoandika.
Yanga anaweza kushinda kwa timu iliyotoa sare au kumfunga simba. Na pia Simba anaweza kushinda kwa timu iliyotoka kumfunga Yanga. Prison alimsumbua Simba lakini kwa Yanga akatulizwa. Labda ungeongea kiufundi zaidi kuliko kutabiri kwa hisia zako
Achana nae huyo bwamdogo. Hapo ametulia ukumbini kwa shemeji yake, ameshika Itel yake anabofya bofya tu. Anasubiri shemeji yake arudi amle dadake.Matokeo hayawi determined kiivo mkuu.
Kwenye mpira hamnaga crossing multiplication,eti kwakua huyu ali draw na Huyu basi huyu atafungwa na huyu.
Ni miaka mitatu sasa simba hapati matokeo mazuri kwa prisons lakini yanga anapata vizuri tu.
Vile vile yanga kwa Namungo ila simba huwa anashinda.
Ukiamua kuongelea mambo ya mpira unatakiwa uache mahaba na kuongelea relevance.
Football is an art.
Dadake aliwe ndiyo naye apate kulaAchana nae huyo bwamdogo. Hapo ametulia ukumbini kwa shemeji yake, ameshika Itel yake anabofya bofya tu. Anasubiri shemeji yake arudi amle dadake.
Nawe pia umepost. Ili tu usipitwe. Si ajabu umerudia mara mbili mbili kusoma ili kujiridhisha. Umakini yani.Achana nae huyo bwamdogo. Hapo ametulia ukumbini kwa shemeji yake, ameshika Itel yake anabofya bofya tu. Anasubiri shemeji yake arudi amle dadake.
Nawe pia umepost. Ili tu usipitwe. Si ajabu umerudia mara mbili mbili kusoma ili kujiridhisha. Umakini yani.Achana nae huyo bwamdogo. Hapo ametulia ukumbini kwa shemeji yake, ameshika Itel yake anabofya bofya tu. Anasubiri shemeji yake arudi amle dadake.
Sawa...mimi utabiri wangu top 3 msimu huuKwa muelekeo ninaouna
✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi...
✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya Namungo...
✓ Mechi zote Simba alizoshinda MOYA BILA ( according to Mwnyi Zahera), Yanga anakwenda kutoa sare au kipigo...
MUDA NI RAFIKI MZURI!