Utabiri wangu kwa timu za Simba na Yanga kabla ya msimu kuisha

Kwa vituko alivyovifanya Refa wa mechi ya Namungo na Yanga. Tayari nimebaini kuwa Matokeo ya nani ashinde huwa ni maamuzi ya Refarii. Hivyo hata hiki ulichokiandika inawezekana ikawa kweli au kikakaribiana na ukweli.
Si ndio magoli yote ya Yanga marefa huwa wanapiga wao golini.
 
Utakuja kugegedwa makalio boya wewe!
 
Kwa vituko alivyovifanya Refa wa mechi ya Namungo na Yanga. Tayari nimebaini kuwa Matokeo ya nani ashinde huwa ni maamuzi ya Refarii. Hivyo hata hiki ulichokiandika inawezekana ikawa kweli au kikakaribiana na ukweli.
Pamoya n mafigisu bado Simba iko ongoza Ligi!
 
unateseka wapi na rafiki yako muda?
 
Muda ni rafiki mzuri eeeh!! Ujinyonge sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…