Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mimi nimesoma Political Science, siasa za Tanzania tangu 1992 vuguvugu linaanza la mfumo wa vyama vingi nilikuwa nafatilia.
Nimekuwa nikimsikiliza Mbowe akihubiri amani ndani ya chama, in fact kwa mahela aliyoweka katika kusaidia chama chake ni mengi na hawezi kuachia chama coz hatalipwa mahela anayodai.
Atashinda uchaguzi usiku huu na ili kuvunja makundi na kutembea na slogan yao ya stronger together, atamtangaza kinyume cha utaratibu Lissu kuwa mgombea Urais ili kuwapoza waliokasirika, Heche na Lema watarudi kamati kuu. Period
All in all CCM chama dume, dume la Mbegu, haimhofii mwanasiasa yoyote yule nchi hii, yuko wap Slaa.