Utabiri wangu: Mbowe atashinda uchaguzi na atamtangaza Tundu Lissu kuwa mgombea urais 2025, imeisha hiyo

Utabiri wangu: Mbowe atashinda uchaguzi na atamtangaza Tundu Lissu kuwa mgombea urais 2025, imeisha hiyo

Na sisi ambao kazi yetu sio wanachama ila sie ni kupiga kura tu kwenye chaguzi tunamtaka lisuuu

Sawa akichaguliwa kwenye kuwania urais tutampigia kura mkuu ila chamani sisi siyo wajumbe hivyo maoni yetu hayataathiri kura za mwenyekiti wa CDM.
 
Mimi nimesoma Political Science, siasa za Tanzania tangu 1992 vuguvugu linaanza la mfumo wa vyama vingi nilikuwa nafatilia.

Nimekuwa nikimsikiliza Mbowe akihubiri amani ndani ya chama, in fact kwa mahela aliyoweka katika kusaidia chama chake ni mengi na hawezi kuachia chama coz hatalipwa mahela anayodai.

Atashinda uchaguzi usiku huu na ili kuvunja makundi na kutembea na slogan yao ya stronger together, atamtangaza kinyume cha utaratibu Lissu kuwa mgombea Urais ili kuwapoza waliokasirika, Heche na Lema watarudi kamati kuu. Period

All in all CCM chama dume, dume la Mbegu, haimhofii mwanasiasa yoyote yule nchi hii, yuko wap Slaa.
YOUR WISHES
 
Sultan Mbowe Bin King'ang'anizi macho yake yamejaa hofu lips zinatetemeka kagonga konyagi ila uoga uko palepale
 
Back
Top Bottom