Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Unajua kilichotokea Dodoma??All in all CCM chama dume, dume la Mbegu, haimhofii mwanasiasa yoyote yule nchi hii, yuko wap Slaa.
Lissu anaungwa mkono na wapiga Kura wa ONLINE ila Mbowe anaungwa mkono na wapiga kura waliopo field Mlimani City.Mimi nimesoma Political Science, siasa za Tanzania tangu 1992 vuguvugu linaanza la mfumo wa vyama vingi nilikuwa nafatilia.
Nimekuwa nikimsikiliza Mbowe akihubiri amani ndani ya chama, in fact kwa mahela aliyoweka katika kusaidia chama chake ni mengi na hawezi kuachia chama coz hatalipwa mahela anayodai.
Atashinda uchaguzi usiku huu na ili kuvunja makundi na kutembea na slogan yao ya stronger together, atamtangaza kinyume cha utaratibu Lissu kuwa mgombea urais ili kuwapoza waliokasirika, Heche na Lema watarudi kamati kuu.Period
All in all CCM chama dume, dume la Mbegu, haimhofii mwanasiasa yoyote yule nchi hii, yuko wap Slaa.
Lissu anaungwa mkono na wapiga Kura wa ONLINE ila Mbowe anaungwa mkono na wapiga kura waliopo field Mlimani City.
kumbe?Mimi nimesoma Political Science, siasa za Tanzania tangu 1992 vuguvugu linaanza la mfumo wa vyama vingi nilikuwa nafatilia.
Nimekuwa nikimsikiliza Mbowe akihubiri amani ndani ya chama, in fact kwa mahela aliyoweka katika kusaidia chama chake ni mengi na hawezi kuachia chama coz hatalipwa mahela anayodai.
Atashinda uchaguzi usiku huu na ili kuvunja makundi na kutembea na slogan yao ya stronger together, atamtangaza kinyume cha utaratibu Lissu kuwa mgombea Urais ili kuwapoza waliokasirika, Heche na Lema watarudi kamati kuu. Period
All in all CCM chama dume, dume la Mbegu, haimhofii mwanasiasa yoyote yule nchi hii, yuko wap Slaa.
Naweka nectaNi ngumu mnoo, uchaguzi Huu ni Ama LISSU ashinde aisuke Upya CHADEMA.
Au Mbowe ashinde abakie na Chawa wake.
Wajinga = mtaji wa ccm huu.Mimi nimesoma Political Science, siasa za Tanzania tangu 1992
All in all CCM chama dume, dume la Mbegu, haimhofii mwanasiasa yoyote yule nchi hii, yuko wap Slaa.
Wakati wa TAA na Afrosh Party hawa wajumbe kesho wangepigwa million 20 na kujiunga CCM kwa kosa laMimi nimesoma Political Science, siasa za Tanzania tangu 1992 vuguvugu linaanza la mfumo wa vyama vingi nilikuwa nafatilia.
Nimekuwa nikimsikiliza Mbowe akihubiri amani ndani ya chama, in fact kwa mahela aliyoweka katika kusaidia chama chake ni mengi na hawezi kuachia chama coz hatalipwa mahela anayodai.
Atashinda uchaguzi usiku huu na ili kuvunja makundi na kutembea na slogan yao ya stronger together, atamtangaza kinyume cha utaratibu Lissu kuwa mgombea Urais ili kuwapoza waliokasirika, Heche na Lema watarudi kamati kuu. Period
All in all CCM chama dume, dume la Mbegu, haimhofii mwanasiasa yoyote yule nchi hii, yuko wap Slaa.
Na sisi ambao kazi yetu sio wanachama ila sie ni kupiga kura tu kwenye chaguzi tunamtaka lisuuuLissu anaungwa mkono na wapiga Kura wa ONLINE ila Mbowe anaungwa mkono na wapiga kura waliopo field Mlimani City.
Ushindi wa MBOWE ni ushindi wa CCM. Ushindi wa CCM ndani ya CHADEMA ni aibu kwa taifaMimi nimesoma Political Science, siasa za Tanzania tangu 1992 vuguvugu linaanza la mfumo wa vyama vingi nilikuwa nafatilia.
Nimekuwa nikimsikiliza Mbowe akihubiri amani ndani ya chama, in fact kwa mahela aliyoweka katika kusaidia chama chake ni mengi na hawezi kuachia chama coz hatalipwa mahela anayodai.
Atashinda uchaguzi usiku huu na ili kuvunja makundi na kutembea na slogan yao ya stronger together, atamtangaza kinyume cha utaratibu Lissu kuwa mgombea Urais ili kuwapoza waliokasirika, Heche na Lema watarudi kamati kuu. Period
All in all CCM chama dume, dume la Mbegu, haimhofii mwanasiasa yoyote yule nchi hii, yuko wap Slaa.
Yeah,Mbowe atapewa kura za fadhira ila siyo za dhati
Kama ccm chama dume inakuaje mwenyekiti wake ni wa KIKE?Mimi nimesoma Political Science, siasa za Tanzania tangu 1992 vuguvugu linaanza la mfumo wa vyama vingi nilikuwa nafatilia.