Utabiri wangu mechi ya ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba

Utabiri wangu mechi ya ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba

Yanga wachawi kisenge okwa anakosaje goli lile mauza uza tu kwanza hata mlango walioingilia unaonyesha waliroga washenzi hawa.
Ceo anaambiwa atoe hela mechi ichezwe nje ya uwanja hataki na haamini kwenye hizi mambo ona sasa tunavyodhalilika
 
giphy.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo ucheke tena kaka.
 
Yanga wachawi kisenge okwa anakosaje goli lile mauza uza tu kwanza hata mlango walioingilia unaonyesha waliroga washenzi hawa.
Wewe jamaa ni mpumbavu maana hutaki kuukubali ukweli.
 
Ceo anaambiwa atoe ela mechi ichezwe nje ya uwanja hataki na haamini kwenye izi mambo ona sasa tunavyodhalilika
Hata ile mechi ya AZAM sports alikataa pia ndo maana utopolo wanaifanya Simba vibonde nowadays
 
Wewe jamaa ni mpumbavu maana hutaki kuukubali ukweli.
Ukweli wa yanga kuiroga simba au mi yanga nilikuja kujua wana dunia yao kwenye kuroga kipindi kile cha mwinyi zahera simba iko on fire kwenye league na kimataifa ila wakija kucheza na utopolo wanaangukia pua.
 
Back
Top Bottom