Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
We MUMBWA; njoo.Ikitokea kama alivyosema mleta mada mniite mbwa nimekaa palw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We MUMBWA; njoo.Ikitokea kama alivyosema mleta mada mniite mbwa nimekaa palw
MBWAAAAAAA weweIkitokea kama alivyosema mleta mada mniite mbwa nimekaa palw
Uli tom beka sana jana sio kwa furaha ileMimi Yangaaa[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji4][emoji4]
Nini hicho umeandika mkuu?Uli tom beka sana jana sio kwa furaha ile
Niliwaambia simba waipe yanga ili wamfilisi mhindi, wakakataa. Sasa hivi wangekuwa wanaugulia maumivu huku wakijipoza kwa kula bia za kumwaga.
Upo vizuri mnajimuYaani kesho kuna mawili, yanga ishinde au simba ifungwe.
Haikuwa yakoNini hicho umeandika mkuu?
We mbwa tunakutafuta umekaa wapi mbona hatukuoni?Ikitokea kama alivyosema mleta mada mniite mbwa nimekaa palw
Pumbav mbwer weweIkitokea kama alivyosema mleta mada mniite mbwa nimekaa palw
Wanachama wenye kuamini huo upuuzi anzisheni mfuko wenu muwe mnagharamia au hauwezi kufanya kazi mpaka zitoke kwa CEO?Ceo anaambiwa atoe ela mechi ichezwe nje ya uwanja hataki na haamini kwenye hizi mambo ona sasa tunavyodhalilika
Swali zuri sana hili.Hela za kuwasha moto kule south afrika ni nani alitoa?
Mkuu siku nyingine naandaa 50K ya kumuua mhindi.Niliwaambia simba waipe yanga ili wamfilisi mhindi, wakakataa. Sasa hivi wangekuwa wanaugulia maumivu huku wakijipoza kwa kula bia za kumwaga.
Siku hiyo mkeka utachanika hautakaa uamini🤣🤣🤣Mkuu siku nyingine naandaa 50K ya kumuua mhindi.
A dream that came true......
Mtoa post chukua bia
Chukua soda
Chukua banana
Chukua heinken
Mpo wap nyie MAKOLO
Mshana Jr
@cocastic
Na
MAKOLO WOWOTE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulituangusha aseee mwana lunyasi mwenzetu