Joo vp mbona unachukulia serious?
Mambo mengine chukulia kirahisi. Hata wewe ungeweza kuandika kwamba umeoteshwa Yanga/Simba ataua bao 10.
Na kama kna mtu angekutukana basi ni mpumbavu.
ππ tatizo JF kwa sasa machalii wengi hawajakua upeo kutanzua mambo mdogo. Kuna wenye mihemko na wasiojua utani/m au sarcasmDah wana wananishukia kama mwewe... [emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Utabiri wako vipi au ulipatwa na corona[emoji23][emoji23][emoji617][emoji808]1
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23] tatizo JF kwa sasa machalii wengi hawajakua upeo kutanzua mambo mdogo. Kuna wenye mihemko na wasiojua utani/m au sarcasm
Nikupe pole mtani maana siyo kwa utabiri uleWenye kutukana wanatukana... Wenye kubeza wanabeza, wenye kukejeli wanakejeli. Ila nimegundua kitu kimoja kumbe huu uzi ulifuatiliwa sana
Jr[emoji769]
Mkuu nakushauri usirudie tena kujiingiza kuzitabiria hizi timu mbili mkuu. Ona siku yako yote,naamini wiki zima hili siku zako zitakuwa sio kama siku zote. Sijui nani amekudanganya ujitupie huko?. Hizi timu hazitabiriki,hakuna mbovu kati yao miaka yote. Japo ni utabiri tu na mchezo tu,lakini wapo waliotilia maanani,hasa mikia,hivi sasa wengi watapoteza imani na wewe,hata kwenye maongezi ya kawaida si unajua ile
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ sio bure utakua ulibet. Mm leo nilimuambia staff mwenzangu ambaye yeye Yanga akatubetia sisi Simba kushinda. Nikamuambia usibeti utaliwa..game inaweza kutubadilikia Simba. Niliamini Yanga watakua aggressive sana. Na kweli.
Yatatimia inshallah hata kwa pungufu ya goli moja lakini vyovyote vile iwavyo SHIMBA atakula nyama choma
Jr[emoji769]
Daah yani nibet kwenye mechi ya simba ya yanga kabisa eti naweka hela yangu?[emoji23][emoji23][emoji23] sio bure utakua ulibet. Mm leo nilimuambia staff mwenzangu ambaye yeye Yanga akatubetia sisi Simba kushinda. Nikamuambia usibeti utaliwa..game inaweza kutubadilikia Simba. Niliamini Yanga watakua aggressive sana. Na kweli.