Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

Dah wana wananishukia kama mwewe... [emoji23][emoji23][emoji23]
Joo vp mbona unachukulia serious?
Mambo mengine chukulia kirahisi. Hata wewe ungeweza kuandika kwamba umeoteshwa Yanga/Simba ataua bao 10.
Na kama kna mtu angekutukana basi ni mpumbavu.

Jr[emoji769]
 
Huhuhuuuuu!! Kalumanzila pole sana.
 
Mtu wa Simba hawezi itabiria Yanga ushindi hata siku moja.
 
Joo vp mbona unachukulia serious?
Mambo mengine chukulia kirahisi. Hata wewe ungeweza kuandika kwamba umeoteshwa Yanga/Simba ataua bao 10.
Na kama kna mtu angekutukana basi ni mpumbavu.
Kapotosha uma inabidi aombe radhi ye anacheka

It's Scars
 
Wenye kutukana wanatukana... Wenye kubeza wanabeza, wenye kukejeli wanakejeli. Ila nimegundua kitu kimoja kumbe huu uzi ulifuatiliwa sana
[emoji23][emoji23] tatizo JF kwa sasa machalii wengi hawajakua upeo kutanzua mambo mdogo. Kuna wenye mihemko na wasiojua utani/m au sarcasm

Jr[emoji769]
 
Mkuu nakushauri usirudie tena kujiingiza kuzitabiria hizi timu mbili mkuu. Ona siku yako yote,naamini wiki zima hili siku zako zitakuwa sio kama siku zote. Sijui nani amekudanganya ujitupie huko?. Hizi timu hazitabiriki,hakuna mbovu kati yao miaka yote. Japo ni utabiri tu na mchezo tu,lakini wapo waliotilia maanani,hasa mikia,hivi sasa wengi watapoteza imani na wewe,hata kwenye maongezi ya kawaida si unajua ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mshana njoo utoe ufafanuzi wa huu uzi maana game ishaishaaa.Hahahaa
 
Wenye kutukana wanatukana... Wenye kubeza wanabeza, wenye kukejeli wanakejeli. Ila nimegundua kitu kimoja kumbe huu uzi ulifuatiliwa sana

Jr[emoji769]
Nikupe pole mtani maana siyo kwa utabiri ule
 
[emoji23][emoji23][emoji23] am all weather bro.. Relax silipwi chochote hivyo sina cha kupoteza... Hata watabiri wakubwa hufanya hivyo na kufeli mimi sio wa kwanza na sitakuwa wa mwisho
Mkuu nakushauri usirudie tena kujiingiza kuzitabiria hizi timu mbili mkuu. Ona siku yako yote,naamini wiki zima hili siku zako zitakuwa sio kama siku zote. Sijui nani amekudanganya ujitupie huko?. Hizi timu hazitabiriki,hakuna mbovu kati yao miaka yote. Japo ni utabiri tu na mchezo tu,lakini wapo waliotilia maanani,hasa mikia,hivi sasa wengi watapoteza imani na wewe,hata kwenye maongezi ya kawaida si unajua ile

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Kapotosha uma inabidi aombe radhi ye anacheka

It's Scars
😂😂😂 sio bure utakua ulibet. Mm leo nilimuambia staff mwenzangu ambaye yeye Yanga akatubetia sisi Simba kushinda. Nikamuambia usibeti utaliwa..game inaweza kutubadilikia Simba. Niliamini Yanga watakua aggressive sana. Na kweli.
 
Yatatimia inshallah hata kwa pungufu ya goli moja lakini vyovyote vile iwavyo SHIMBA atakula nyama choma

Jr[emoji769]

Game ndo ishaisha bro.Utawaambia nn waliokuwa wanaheshimu ramri zako.Hahaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sio bure utakua ulibet. Mm leo nilimuambia staff mwenzangu ambaye yeye Yanga akatubetia sisi Simba kushinda. Nikamuambia usibeti utaliwa..game inaweza kutubadilikia Simba. Niliamini Yanga watakua aggressive sana. Na kweli.
Daah yani nibet kwenye mechi ya simba ya yanga kabisa eti naweka hela yangu?

Nilishakataa kumdhamini masai maana wakati wowote anaweza kukuachia shuka ye akasepa

It's Scars
 
Back
Top Bottom