Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

Kwenye fani ya utabiri ndugu yangu mshana umepata zero tena lenye masikio kabisa. Kuna baadhi ya fani muwaachie kina Sheikh Shariff Majini
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hizo zote za nyuma nilizopatia zimeshasahaulika mara...!
Kwenye fani ya utabiri ndugu yangu mshana umepata zero tena lenye masikio kabisa. Kuna baadhi ya fani muwaachie kina Sheikh Shariff Majini

Jr[emoji769]
 
Mkeka umechanika muindi kashakukula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toeni nyongo mpate nafuu ndani ya vifua vyenyu..

Jr[emoji769]
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji36][emoji36][emoji36][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nawaona walivyokusonya jana baada ya kile kichapo. [emoji23][emoji23]

Mana uliwaaminisha kwa herufi kubwa.

Jr[emoji769]
 
Utabir wangu clear japo first yellow card hakupata kasi Kama nilisema nimecheza na muda na wakati maji yanaporudi saa kumi na moja na gol likapatikana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu mshana tugonge cheers

kilicho akilini kitumie
Na hili ndio tukio kubwa Sana nilitabiri litatokea

kilicho akilini kitumie
 
Mosi, huyo Senzo kama hashirikishi benchi la ufundi la Utamaduni hatakuja kuifunga Yanga katika kipindi Chake Chote.
Pili, Yanga you aliizidi Simba Kwa hamasa ya Uchezaji.
Nadhani Ile ahadi ya kuwapatia pesa milioni 200 wakishinda kiliongeza kiwango cha Morale kwa wachezaji wa Yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimekurudia tena baada ya kuweka akiba ya maneno yangu kwenye post yako hii. Vipi Mwenyekiti? Anga lilikudanganya? Hebu tupe maelezo ... najua huyakosi.
 
Ndio kama hivyo.. Usidhani nao walibweteka
Mkuu nimekurudia tena baada ya kuweka akiba ya maneno yangu kwenye post yako hii. Vipi Mwenyekiti? Anga lilikudanganya? Hebu tupe maelezo ... najua huyakosi.

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…