Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye fani ya utabiri ndugu yangu mshana umepata zero tena lenye masikio kabisa. Kuna baadhi ya fani muwaachie kina Sheikh Shariff Majini
Mkeka umechanika muindi kashakukulaNimechungulia anga la SIMBA kuna ung'avu mkubwa na nyota nne zinawaka kuzunguka kichwa cha mnyama SIMBA akiwa kakanyaga zulia jekundu na kuzingirwa na mataa yanayomeremeta, mekundu. Kwa upande wa YANGA kuna utusitusi na hali ya kufifia.
Huku vitu kama nyota vikiwa vimepoteza nuru. Kuna nyota mbili zinawaka na kufiifia kama umeme wa single phase wenye load iliyozidiwa pembezoni na chini kuna rangi ya khaki kama njano na ni kavu kama jangwani.
Chochote anachotaka kukifanya YANGA kwenye hiyo ndoto kinapata msaada na mwanga toka upande wa SIMBA.
Tafsiri yake ni ninini?
Kama huamini utabiri huu au unabisha njoo na wako lakini usiwe wa kufoji. Ama kaa tulia tusubiri kipenga cha mwisho tarehe hiyo ya 8.3.2020.
- SIMBA atatawala mchezo mwanzo mwisho kasoro dakika chache tu za mwisho.
- SIMBA itatoka kifua mbele kwa kulipenya lango la YANGA mara NNE.
- Yanga watabahatika kupata kifuta machozi cha bao mbili au moja. Kama nia mbili, kila kipindi kitapata moja.
Jr[emoji769]
Kama nawaona walivyokusonya jana baada ya kile kichapo. 😂😂Nakumbuka sana [emoji23]
Jr[emoji769]
Shem ndio vijana wetu hawa. 😅😅😅Njooo tena.
kosa moja linafuta mazuri yote[emoji23][emoji23][emoji23]hizo zote za nyuma nilizopatia zimeshasahaulika mara...!
Jr[emoji769]
Na hili ndio tukio kubwa Sana nilitabiri litatokeaUtabir wangu clear japo first yellow card hakupata kasi Kama nilisema nimecheza na muda na wakati maji yanaporudi saa kumi na moja na gol likapatikana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu mshana tugonge cheers
kilicho akilini kitumie
Nimechungulia anga la SIMBA kuna ung'avu mkubwa na nyota nne zinawaka kuzunguka kichwa cha mnyama SIMBA akiwa kakanyaga zulia jekundu na kuzingirwa na mataa yanayomeremeta, mekundu. Kwa upande wa YANGA kuna utusitusi na hali ya kufifia.