Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

Naaangalia mechi ya Yanga na Mbao,ni vituko vitupu. Yanga inaingia mara 3 kwa Namungo. sijui jeuri ya kupambana na Mnyama wanatoa wapi
Lakini Lissu ni mwananchi...hao Namungo wakicheza na Zesco au Pyramids wanaweza kufungwa magoli hata kumi, mpira wa Kibongo kukamiana tu
 
Mahaba na 5imba ndio yamefanya aanzishe huu uzi.

Derby hazitabirikagi kirahisi namna hii. Hapa Mganga kaingia chaka.
 
Mshana sasa umekua mpiga ramli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji109][emoji109][emoji109]
Ebwana hatari faya Mshana Jr mimi nakukubali najua lazima Yanga tukawaoe tarehe 8 kwa mahari uliyoitaja

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…