Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi alipatia, ka wewe ujaona Membe alivyoitikisa CCM ni wewe, hadi mtu anafukuzwa unasema hajaitikisaUlitabiri Membe kuitikisa CCM lakin tumeona CCM Imemtikisa membe kwa maana nyepesi utabili wako siku zote huwa ni kinyume chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaijua siku hiyo jeuri.naaangalia mechi ya Yanga na Mbao,ni vituko vitupu. Yanga inaingia mara 3 kwa Namungo. sijui jeuri ya kupambana na Mnyama wanatoa wapi
Lakini Lissu ni mwananchi...hao Namungo wakicheza na Zesco au Pyramids wanaweza kufungwa magoli hata kumi, mpira wa Kibongo kukamiana tuNaaangalia mechi ya Yanga na Mbao,ni vituko vitupu. Yanga inaingia mara 3 kwa Namungo. sijui jeuri ya kupambana na Mnyama wanatoa wapi
Lissu kaingiaje hapaLakini Lissu ni mwananchi...hao Namungo wakicheza na Zesco au Pyramids wanaweza kufungwa magoli hata kumi...mpira wa kibongo kukamiana tu..
🤣🤣🤣🤣 Ameamua kuwafurahisha 5imba wenzie huyo.Kama utabiri wako unauamini 100% basi bet upate hela. Hatutaki porojo hapa. Mpira uwanjani, Matokeo dakika 90.
Kinachotabirika huwa ni mvua tu Shem. Hivi vingine ni kubahatisha.Hii sio betting ni utabiri na mimi sio mganga
Jr[emoji769]
Mahaba na 5imba ndio yamefanya aanzishe huu uzi.Huyu mshana Hapa kafanya kitu inaitwa
Ushabiki wewe Sema upo Simba ndo Maana una Tabiri hivi Mpira ni Dakika 90 Hata ile mechi ya january4 nayo yalikuwa Kama haya haya lakin mwisho wa siku ikaja Droo so, Mpira hautabiriki Brother, huu Uzi umekosea Kabixa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa. Lol.Mbwa anaweza kutikisa mkia wake ila mkia wa mbwa hauwezi kumtikisa mbwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada nakusalimia ndugu yako. Mzima?Mimi shabiki wa simba ni nani nikubishie [emoji847]
Wacha weee!!! Nilijua tu Dada hapa lazima 5imba mukubali mana kauli sukari hii. 😅Mimi shabiki wa simba ni nani nikubishie [emoji847]
Hahahaaa! Lol.Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100%
🤣🤣🤣 ETI WAMEPATA WA KUWAJAZAGentamycine amepata mrithi wa kuwajaza umbumbumbu mfano hayo magoli ya simba 4 yanatokea kwa nani?penalti za kagere au ushuuzi huu na jumapili utaukimbia uzi huu kama mavi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana sasa umekua mpiga ramliNimechungulia anga la SIMBA kuna ung'avu mkubwa na nyota nne zinawaka kuzunguka kichwa cha mnyama SIMBA akiwa kakanyaga zulia jekundu na kuzingirwa na mataa yanayomeremeta, mekundu. Kwa upande wa YANGA kuna utusitusi na hali ya kufifia.
Huku vitu kama nyota vikiwa vimepoteza nuru. Kuna nyota mbili zinawaka na kufiifia kama umeme wa single phase wenye load iliyozidiwa pembezoni na chini kuna rangi ya khaki kama njano na ni kavu kama jangwani.
Chochote anachotaka kukifanya YANGA kwenye hiyo ndoto kinapata msaada na mwanga toka upande wa SIMBA.
Tafsiri yake ni ninini?
Kama huamini utabiri huu au unabisha njoo na wako lakini usiwe wa kufoji. Ama kaa tulia tusubiri kipenga cha mwisho tarehe hiyo ya 8.3.2020.
- SIMBA atatawala mchezo mwanzo mwisho kasoro dakika chache tu za mwisho.
- SIMBA itatoka kifua mbele kwa kulipenya lango la YANGA mara NNE.
- Yanga watabahatika kupata kifuta machozi cha bao mbili au moja. Kama nia mbili, kila kipindi kitapata moja.
Jr[emoji769]
Bro huwa nakuheshimu sana ila kwa tabia yako ya ushabiki maandazi na mikia unajipunguzia heshima
Sent using Jamii Forums mobile app