Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Ndoto za mchana wa jua kali, ungejua namna miradi iliyoachwa na marehemu JPM inavyoendelea kukamilika mmoja baada ya mwingine usingekuja na mawazo kama haya.
 
Mbona nyinyi pimbi .. jpm mlikuwa mnamwita majina machafu au unadhani tumesahau
 
Wewe some time ni zuzu kwelikweli .....hicho kitu ni impossible...samia ndiye rais wa mwisho mzanzibar kuja kuwa rais wa muungano baada ya samia hakuna zanzibar atakaye kuwa Rais hadi muungano utakapo vunjika
Umenena, haitotokea.
 
Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!

Naomba hili liwe reference kwa 2025!

Kwani kuna mwingine zaidi ya SSH! huyu mama hata atawale miaka 50 sawa tu, ila naomba arekebishe suala la makodi/tozo ya aina yoyote
 
Mbona nyinyi pimbi .. jpm mlikuwa mnamwita majina machafu au unadhani tumesahau
Mkuu sijawahi kuwakosea adabu viongozi wa Chama na serikali,ungesema mbowe na lissu ningekuelewa
 
Nakukumbuka sana mkuu!

Uliwahi nipaka Sana baada ya ku ripoti ishu fulani hivi hukooo Tabora!

Nitaendelea kuililia Tabora Hadi itakapostawi ipasavyo!!

Umwinyi,Kujuana,rushwa,unafiki,fitna za kijinga zinaendelea kuitafuna Tabora!!

ACHA niendelee kuimba wimbo wangu huu:-

""Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!

Naomba hili liwe reference kwa 2025!
Hili suala halina mpinzani hakuna Rais mwingine zaidi ya Rais Samia Suluhu
amefanya mambo mengi makubwa
 
Pia kwa nchi zetu za ki-Afrika, mkitaka kuchagua rais mwanamke, angalieni ameolewa na nani. Maana huyo mmewe ndiye atakayekuwa rais wenu wa nyuma ya pazia.
Mbona Rais Samia Suluhu yeye ndo kashika nchi na mme wake hajawai kuingilia acheni mawazo mgando wananwake wana haki ya kuongoza kama wanaume tena mwanaume ni zaidi ya mwanaume
 
Ndoto za mchana wa jua kali, ungejua namna miradi iliyoachwa na marehemu JPM inavyoendelea kukamilika mmoja baada ya mwingine usingekuja na mawazo kama haya.
Tatizo watu wanaongea kwa mihemko tu hawafatiilii mambo Rais Samia Suluhu amekamilisha miradi ndani ya siku 523 na bado anaendelea kuleta maendeleo
 
Usimjibu huyu P! Achana naye as long as wengi tunakuelewa
 
Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!

Naomba hili liwe reference kwa 2025!
Sauti iliayo nyikani inakataa labda kwa mabavu ya wanufaika siohao wanaoishi mazingira wasiyoyaweza walioko kileleni
 
Mkuu sijawahi kuwakosea adabu viongozi wa Chama na serikali,ungesema mbowe na lissu ningekuelewa
Kumbe wewe ndiyo wale mnao amini kuwa mtu mpumbavu akiwa rais upumbavu unaondoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji90]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…