Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Kwani jamaa hili ulionaje au huwa mnafanyaje mnapewa miracle hizi na Muumba😅😅, nikutafte uchungulie mambo yangu
Aliyeweza kutabiri utabiri wa kweli tena kabla ya wakati na kumtaja jina kabisa ni Paschal Mayalla ndiye aliyetabiri kwa uhakika 2015 Rais anaweza kuwq Magufuli.

Achana na huyu tapeli hakuna utabili wowote hapo, hata sheikh Yahya alishatowa tabiri zake za kimchongo Rais ayaje atakuwa mwanamke.

Mtabiri wa kweli ni Mayalla peke yake aliyemtaja jina kabisa Magufuli miaka kadhaa kabla ya mchakato, twna angekuwa tapeli ilikuwa Rahisi tu kutabiri ni Lowasa ndiye atakuwa Rais maana upepo ulikuwa kwake.
 
Utabiri wa sheikh Yahya ni wa kitapeli tu. Hakuwahi tabiri popote nilipotabiri , ni edited memes tu.

Kama kweli alitabiri, weka audio yake na video.

Paschal Mayala anacopy thread za watu hana jipya. Na nilishamwambia aache kukopy thread zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…