Samia 2025.
Siyo kweli2025 mtifuano utakua mkubwa sana na wa aina yake, suluhisho itakua kwa mwanamke! Na Atashinda!
Lkn hakuna mtifuano wowote. Atapita kiulaini sanaNi kweli October ni Samia.
Kwahiyo polepole anabweka tu😅😅Kesho anakwenda kuchukua fomu.
Tunakukumbusha tu Bunge lishavunjwa kwa hivyo hiyo reform ni mfu tayariOctober hatutiki bila reform
Ilimradi upinge tuu kisa unaona kilichozungumziwa kinakwenda kuwa.Ungezungumza before 2015 ungekuwa utabiri mzuri ,ila umezungumza kipindi VP ni Mwanamke naona hapo siyo utabiri bali ulikuwa UBASHIRI.
Yaani vitu tayari vipo kwahiyo unabashiri kwamba huyu VP aliyopo anaweza kuja kuwa Prezzo...ingependeza 2014 ambapo hakuna mwanamke kabisa katika hizo ranks ungeeleweka vizuri...Ni sawa na Qchief anatabiri eti Mwana FA atakuja kuwa waziri kamili ,that's nonsense.
Huyo mayala alitabiri hayo mwaka gani?Aliyeweza kutabiri utabiri wa kweli tena kabla ya wakati na kumtaja jina kabisa ni Paschal Mayalla ndiye aliyetabiri kwa uhakika 2015 Rais anaweza kuwq Magufuli.
Achana na huyu tapeli hakuna utabili wowote hapo, hata sheikh Yahya alishatowa tabiri zake za kimchongo Rais ayaje atakuwa mwanamke.
Mtabiri wa kweli ni Mayalla peke yake aliyemtaja jina kabisa Magufuli miaka kadhaa kabla ya mchakato, twna angekuwa tapeli ilikuwa Rahisi tu kutabiri ni Lowasa ndiye atakuwa Rais maana upepo ulikuwa kwake.
Hakuna lolote, ni sawa na mimi hapa nawatabiria jimbo la Segerea atashinda Agnesta Kaiza wa Chauma kwa kura nyingi kwa kumgalagaza Bonah Kamoli wa Ccm.Ulitisha sana