Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Ungezungumza before 2015 ungekuwa utabiri mzuri ,ila umezungumza kipindi VP ni Mwanamke naona hapo siyo utabiri bali ulikuwa UBASHIRI.

Yaani vitu tayari vipo kwahiyo unabashiri kwamba huyu VP aliyopo anaweza kuja kuwa Prezzo...ingependeza 2014 ambapo hakuna mwanamke kabisa katika hizo ranks ungeeleweka vizuri...Ni sawa na Qchief anatabiri eti Mwana FA atakuja kuwa waziri kamili ,that's nonsense.
 
Wivu.
 
Back
Top Bottom