Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivip,acha upimbiJamii fournm inapoteza ladhaa
Ilishanenwa kwa vinywa vya manabii wa Mungu na pia sheikh Yahya kwamba Rais atatoka upinzani.Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!
Naomba hili liwe reference kwa 2025!
Duh aseeNyie mchongeeni tu kwa Mungu, na Mungu hajaribiwi shauri yenu na kufuru zenu hizo.
Kaaa Sagai, uliwaza nini mkuu?Nyie mchongeeni tu kwa Mungu, na Mungu hajaribiwi shauri yenu na kufuru zenu hizo.
Aisee, ulimvua kinyago usoni.Kumbe @stroke na hii pia ni ID yako duh.
Nae ni Samia Suluhu ulikua sawa mkuuNaona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!
Naomba hili liwe reference kwa 2025!
Unabii wako umetimia kabisa mkuu, Tena kabla ya muda uliotarajiaNdio.
Wivu.Ungezungumza before 2015 ungekuwa utabiri mzuri ,ila umezungumza kipindi VP ni Mwanamke naona hapo siyo utabiri bali ulikuwa UBASHIRI.
Yaani vitu tayari vipo kwahiyo unabashiri kwamba huyu VP aliyopo anaweza kuja kuwa Prezzo...ingependeza 2014 ambapo hakuna mwanamke kabisa katika hizo ranks ungeeleweka vizuri...Ni sawa na Qchief anatabiri eti Mwana FA atakuja kuwa waziri kamili ,that's nonsense.