Utabiri wangu: Yanga watashinda kwa mgoli 2 dhidi ya CR Belouizdad na yote yatafungwa na Mzize

Nakabidhi ofisi
Screenshot_20231125-002017.png

Hovyooooo...........!! Kubwa Jinga litupu.
 
Mkuu ukisha kuwa na ID ambayo umeizoea na umeitumia kwa muda mrefu ni ngumu sana kuanza upya na ID nyingine.

Nilijiunga jf mwaka.2012 na sasa ni 2023..Almost miaka.kumi na.moja mkuu.

Ni ngumu sana kuja na.id mpya just like that.

ID mpya ina.make.sense kama.unazitumia zote mbili kwa.pamoja.

Mkuu Lakini Mechi Uliyo Tabiri bado Haijachezwa Ukitabiri Yanga Vs CRB leo ni CRB Vs Yanga
 
Sisi tulikuangalia tukaona hujui chochote kuhusu mpira tukakuacha ujilimbwase na hope za kufikirika.

Uzuri haukubeti ila utakuwa uliwaponza wafuasi wako waliojenga imani zao kwako wakiamini unachokitabiri kinakuwa.

Biashara na hisia haviendi sawa ona sasa umekuwa sababu ya familia zingine kushinda njaa kutokana na tabiri yako ya kizushi.

Na nyie mkome muwe mnaangalia na timu za kubetia
 
Huo ndio utabiri wangu.

Yanga watashinda kwa magoli mawili kwa sifuri.

Magoli yote mawili yatafungwa na Walid Mzize na yatafungwa kipindi cha kwanza.

Watu mlio karibu na benchi la ufundi la Yanga fanyieni kazi taarifa hii.

Endapo haitakuwa hivi basi nitajitoa jamii forums moja kwa moja na sintopost wala kucomment chochote hapa jf.

I put one hundred percent in everything that I have said above👆

Update:

1. Mzize akifunga magoli yote mawili kipindi cha pili nitajitoa kwa sababu nimesema Maize atafunga magoli yote mawili kipindi cha kwanza

2. Kama Mzize atafunga goli moja kipindi cha kwanza na mpya kipindi cha pili nitajitoa JF moja moja

3. Kama Yanga watashinda magoli mawili ila ya kafungwa na wachezaji wengine nitajitoa pia.

4. Kama Yanga watafungwa magoli matatu kwa mawili lakini magoli mawili yote ya Yanga yakafungwa na Mzize kipindi cha kwanza still bado nitajitoa JF hata kama half time itamalizika kwa Yanga kuongoza magoli mawili kwa sifuri na yote yawe yamefungwa na Mzize.

# my love moves in the direction of my words.
Mtakumbuka medali za shirikisho muda siyo mrefu.
Yanga imechukua miaka 25 kuingia makundi ya champion league. Usifikirie rahisi km unavyofikiri
Bado Al Ahly wanakuja
 
Huo ndio utabiri wangu.

Yanga watashinda kwa magoli mawili kwa sifuri.

Magoli yote mawili yatafungwa na Walid Mzize na yatafungwa kipindi cha kwanza.

Watu mlio karibu na benchi la ufundi la Yanga fanyieni kazi taarifa hii.

Endapo haitakuwa hivi basi nitajitoa jamii forums moja kwa moja na sintopost wala kucomment chochote hapa jf.

I put one hundred percent in everything that I have said above👆

Update:

1. Mzize akifunga magoli yote mawili kipindi cha pili nitajitoa kwa sababu nimesema Maize atafunga magoli yote mawili kipindi cha kwanza

2. Kama Mzize atafunga goli moja kipindi cha kwanza na mpya kipindi cha pili nitajitoa JF moja moja

3. Kama Yanga watashinda magoli mawili ila ya kafungwa na wachezaji wengine nitajitoa pia.

4. Kama Yanga watafungwa magoli matatu kwa mawili lakini magoli mawili yote ya Yanga yakafungwa na Mzize kipindi cha kwanza still bado nitajitoa JF hata kama half time itamalizika kwa Yanga kuongoza magoli mawili kwa sifuri na yote yawe yamefungwa na Mzize.

# my love moves in the direction of my words.
Nimefuata utabiri wako lakini umenichania mkeka😁😁
 
Yeah sure mkuu.

And now umenikumbusha. Wasi mtoe Musonda. Ana kitu ndani yake. Moloko wasimtoe pia. Bado ana kitu ndani yake...

Kama haitotokea kama nilivyo sema hapo juu nitajitoa jf moja kwa moja. Yani hata kama magoli atafunga moja kipindi cha kwanza moja kipindi cha pili nitajitoa pia.
Zingatia hii
 
Maskini hii ndoto uliota mchana au usiku[emoji23]
 
Utabiri unauweza shida mizimu iko kwenye mgomo baridi kwa kuilisha supu ya kibudu. Unatakiwa utoe kafara ya konokono watatu wenye antenna tatu kila mmoja na wawe wenye rangi ya kijani mkiani na njano tumboni kuiangukia mizimu ili karama yako ya unajimu irudi.
 
Huo ndio utabiri wangu.

Yanga watashinda kwa magoli mawili kwa sifuri.

Magoli yote mawili yatafungwa na Walid Mzize na yatafungwa kipindi cha kwanza.

Watu mlio karibu na benchi la ufundi la Yanga fanyieni kazi taarifa hii.

Endapo haitakuwa hivi basi nitajitoa jamii forums moja kwa moja na sintopost wala kucomment chochote hapa jf.

I put one hundred percent in everything that I have said above👆

Update:

1. Mzize akifunga magoli yote mawili kipindi cha pili nitajitoa kwa sababu nimesema Maize atafunga magoli yote mawili kipindi cha kwanza

2. Kama Mzize atafunga goli moja kipindi cha kwanza na mpya kipindi cha pili nitajitoa JF moja moja

3. Kama Yanga watashinda magoli mawili ila ya kafungwa na wachezaji wengine nitajitoa pia.

4. Kama Yanga watafungwa magoli matatu kwa mawili lakini magoli mawili yote ya Yanga yakafungwa na Mzize kipindi cha kwanza still bado nitajitoa JF hata kama half time itamalizika kwa Yanga kuongoza magoli mawili kwa sifuri na yote yawe yamefungwa na Mzize.

# my love moves in the direction of my words.
Utabiri feki huu....
 
Back
Top Bottom