reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
HahaahahahahUmetabiri kinyumenyume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaahahahahUmetabiri kinyumenyume
Utakuja na ID gani mpya?Sasa si ndio uzi wangu wa mwisho huu mkuu. Tayari nimesha jiuluzu so naachia ofisi.
U will never see me again commentinf or posting anything on jf
Mkuu ukisha kuwa na ID ambayo umeizoea na umeitumia kwa muda mrefu ni ngumu sana kuanza upya na ID nyingine.
Nilijiunga jf mwaka.2012 na sasa ni 2023..Almost miaka.kumi na.moja mkuu.
Ni ngumu sana kuja na.id mpya just like that.
ID mpya ina.make.sense kama.unazitumia zote mbili kwa.pamoja.
Mtakumbuka medali za shirikisho muda siyo mrefu.Huo ndio utabiri wangu.
Yanga watashinda kwa magoli mawili kwa sifuri.
Magoli yote mawili yatafungwa na Walid Mzize na yatafungwa kipindi cha kwanza.
Watu mlio karibu na benchi la ufundi la Yanga fanyieni kazi taarifa hii.
Endapo haitakuwa hivi basi nitajitoa jamii forums moja kwa moja na sintopost wala kucomment chochote hapa jf.
I put one hundred percent in everything that I have said above👆
Update:
1. Mzize akifunga magoli yote mawili kipindi cha pili nitajitoa kwa sababu nimesema Maize atafunga magoli yote mawili kipindi cha kwanza
2. Kama Mzize atafunga goli moja kipindi cha kwanza na mpya kipindi cha pili nitajitoa JF moja moja
3. Kama Yanga watashinda magoli mawili ila ya kafungwa na wachezaji wengine nitajitoa pia.
4. Kama Yanga watafungwa magoli matatu kwa mawili lakini magoli mawili yote ya Yanga yakafungwa na Mzize kipindi cha kwanza still bado nitajitoa JF hata kama half time itamalizika kwa Yanga kuongoza magoli mawili kwa sifuri na yote yawe yamefungwa na Mzize.
# my love moves in the direction of my words.
Kawaulize Simba watakuambia. Bado Al Ahly wanakujaKwani kuna utofauti gani kati ya shirikisho na hii ligi ya mabingwa?
Sasa si ndio uzi wangu wa mwisho huu mkuu. Tayari nimesha jiuluzu so naachia ofisi.
U will never see me again commentinf or posting anything on jf
Nimefuata utabiri wako lakini umenichania mkeka😁😁Huo ndio utabiri wangu.
Yanga watashinda kwa magoli mawili kwa sifuri.
Magoli yote mawili yatafungwa na Walid Mzize na yatafungwa kipindi cha kwanza.
Watu mlio karibu na benchi la ufundi la Yanga fanyieni kazi taarifa hii.
Endapo haitakuwa hivi basi nitajitoa jamii forums moja kwa moja na sintopost wala kucomment chochote hapa jf.
I put one hundred percent in everything that I have said above👆
Update:
1. Mzize akifunga magoli yote mawili kipindi cha pili nitajitoa kwa sababu nimesema Maize atafunga magoli yote mawili kipindi cha kwanza
2. Kama Mzize atafunga goli moja kipindi cha kwanza na mpya kipindi cha pili nitajitoa JF moja moja
3. Kama Yanga watashinda magoli mawili ila ya kafungwa na wachezaji wengine nitajitoa pia.
4. Kama Yanga watafungwa magoli matatu kwa mawili lakini magoli mawili yote ya Yanga yakafungwa na Mzize kipindi cha kwanza still bado nitajitoa JF hata kama half time itamalizika kwa Yanga kuongoza magoli mawili kwa sifuri na yote yawe yamefungwa na Mzize.
# my love moves in the direction of my words.
Zingatia hiiYeah sure mkuu.
And now umenikumbusha. Wasi mtoe Musonda. Ana kitu ndani yake. Moloko wasimtoe pia. Bado ana kitu ndani yake...
Kama haitotokea kama nilivyo sema hapo juu nitajitoa jf moja kwa moja. Yani hata kama magoli atafunga moja kipindi cha kwanza moja kipindi cha pili nitajitoa pia.
Al Ahly ni ndugu zetu wa damu tutakuwa nao Bega kwa Bega hapa LupasoMtakumbuka medali za shirikisho muda siyo mrefu.
Yanga imechukua miaka 25 kuingia makundi ya champion league. Usifikirie rahisi km unavyofikiri
Bado Al Ahly wanakuja
Utabiri feki huu....Huo ndio utabiri wangu.
Yanga watashinda kwa magoli mawili kwa sifuri.
Magoli yote mawili yatafungwa na Walid Mzize na yatafungwa kipindi cha kwanza.
Watu mlio karibu na benchi la ufundi la Yanga fanyieni kazi taarifa hii.
Endapo haitakuwa hivi basi nitajitoa jamii forums moja kwa moja na sintopost wala kucomment chochote hapa jf.
I put one hundred percent in everything that I have said above👆
Update:
1. Mzize akifunga magoli yote mawili kipindi cha pili nitajitoa kwa sababu nimesema Maize atafunga magoli yote mawili kipindi cha kwanza
2. Kama Mzize atafunga goli moja kipindi cha kwanza na mpya kipindi cha pili nitajitoa JF moja moja
3. Kama Yanga watashinda magoli mawili ila ya kafungwa na wachezaji wengine nitajitoa pia.
4. Kama Yanga watafungwa magoli matatu kwa mawili lakini magoli mawili yote ya Yanga yakafungwa na Mzize kipindi cha kwanza still bado nitajitoa JF hata kama half time itamalizika kwa Yanga kuongoza magoli mawili kwa sifuri na yote yawe yamefungwa na Mzize.
# my love moves in the direction of my words.
Hapa ndipo unafiki unapoanza kuonekana ...talking is cheap .....ngoja tuoneEndapo haitakuwa hivi basi nitajitoa jamii forums moja kwa moja na sintopost wala kucomment chochote hapa jf.