Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
π€π€π€π€π€ππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata nikijua haiwezi nipotezea my tym na mwanaume unaanzaje kufuatilia kuhsu uhalali wa watoto wako unaishi na kuwalea na mama yao uko nao na unaanzaje kwenda kupima DNA ya hao malaika wa mungu eti kuangalia kama ni wako. Je ghafla bin Vuu watoto umepima DNA ni 99% ni wako sura utaiweka wapi wewe mwanaume kiboma.....Ukijua Mama anaslip out of marriage we mpige chini ni bora kuliko kuwafanyia ujinga watoto huwa hawasahau kirahisi na watakua wanataka kukulipa kwa ulichowafanyia.Habari za muda huu wapendwa...bila shaka sote tuwazima wa AFYA......
Maisha ya kimapenzi yamejawa changamoto na vitimbi vya kila aina......mara nyingi wale tuliowapenda na kuwathamini ndio wanaotuletea vunjiko la moyo na maumivu yasiyoisha.....
Wahenga wanasema kuwa lisemwalo lipo kama halipo laja......
Uaminifu umekuwa jambo adimu kwenye ulimwengu huu uliojawa jeuri, vitimbi na tamaa kwenye mioyo ya binadamu......
Je ukipata kujua kuwa watoto unaowalea sio wa kwako utachukua hatua gani.......??
Inawezekana majibu yetu yakatoa muongozo kwa Wenzetu wanaopitia haya na wahenga walisema mwenzako akinyolewa na wewe tia maji.......
Karibuni tujadili......!!
Ndio maana sisi wengine huwa tunawashikisha ukuta! πππππππ€£π€£π€£π¬π¬π¬πππYaani unagundua gunduaje sio wako? Acheni ufukunyuku nyie viumbe, kitanda hakizai haramu.
Na wewe una mpango gani na huyo mtoto.....??Usiende mbali mkuu,mimi nina mtoto wa miaka mitatu copy kabisa..ila analelewa na mwamba mwingine kabisa na anajua kuwa ni mtoto wake.
Sasa ishu inakuja ukitaka harakati za kumpata huyo mtoto hapo ndio vita kubwa itaanza kwahyo inabidi iwe swala la muda tu...ila kiume inaumiza maana mwanaume mwenzangu analea vizuri damu isiyokuwa yake.
Kama katotoleaha wtoto wa kike nawaia timing tuu wakue kue wakifika 20yrs napota nao kitandani alafu nambwaga mama yaoHabari za muda huu wapendwa...bila shaka sote tuwazima wa AFYA......
Maisha ya kimapenzi yamejawa changamoto na vitimbi vya kila aina......mara nyingi wale tuliowapenda na kuwathamini ndio wanaotuletea vunjiko la moyo na maumivu yasiyoisha.....
Wahenga wanasema kuwa lisemwalo lipo kama halipo laja......
Uaminifu umekuwa jambo adimu kwenye ulimwengu huu uliojawa jeuri, vitimbi na tamaa kwenye mioyo ya binadamu......
Je ukipata kujua kuwa watoto unaowalea sio wa kwako utachukua hatua gani.......??
Inawezekana majibu yetu yakatoa muongozo kwa Wenzetu wanaopitia haya na wahenga walisema mwenzako akinyolewa na wewe tia maji.......
Karibuni tujadili......!!
Kweli mkuu umeandika jambo la msingi sana....lakini nadhani kufaulu katika hili ni kufanya maamuzi yatakayo kuweka huru na kukuacha na amani ya moyo.....Hii ni miongoni mwa mitihani ya kidunia na asili ya mitihani ni kufaulu kwa mfanyaji au kushindwa kwa mfanyaji na hapa ndo huu mitihani unapokukuta utaamua kushindwa au kufaulu...kufaulu ni kukubali na kusamehe Ili maisha yaendelee na kushindwa ni kufukuza,kuua uhusiano au nafsi,kutelekeza au kudhuru mwili na akili ya wahusika
Ndo siku zoote kufaulu ndo jema kuliko kushindwa...kwa upande wangu nitachagua ufaulu ambao utakuwa na maumivu kwao baada ya siku zangu za uhai zitakapokwisha
Hao waliokuja au kuletwa kwangu kwa mlango wa pembeni watakachofaidika nami ni kwa huduma za kielimu na malezi nilizowapa ila nitawaondoa ktk haki ya kurithi mali nitakazoacha hapa duniani
Na sababu ya kuwaondoa ktk urithi imeegemea zaidi kwenye mafundisho ya dini na kibinaadam....kidini nitakuwa nimewaokoa wao na mama yao kwenye dhima na dhambi ya kudhurumu kwa kumiliki wasichokuwa na haki navyo...... kibinaadam ni kwamba sitaki kuwa fala mara mbili,yaani niwe fala kwenye kuwalea halafu tena niwe fala niwaachie na mali halafu utakuwa baba zao huko walipo walikuwa wazembe tuu hawakuhangaika kwa kutafuta wala kuwekeza mara paap wanakuja kuwa warithi wa mali ya mtu mwingine
Unajisikiaje mkuu?Usiende mbali mkuu,mimi nina mtoto wa miaka mitatu copy kabisa..ila analelewa na mwamba mwingine kabisa na anajua kuwa ni mtoto wake.
Sasa ishu inakuja ukitaka harakati za kumpata huyo mtoto hapo ndio vita kubwa itaanza kwahyo inabidi iwe swala la muda tu...ila kiume inaumiza maana mwanaume mwenzangu analea vizuri damu isiyokuwa yake.
Too bad man, too bad, usifanye hivyo!Kama kuna kabinti nakakuza tu
Baadae nakatafuna na mama ake lazima ajue
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu kwa msimamo huo......lakini huoni kwamba unapaswa kuchukua hatua dhidi ya USALITI wa MKEO ikithibitika kuwa kweli....??Watoto ninaowalea ni wangu, sitaki kuuliza mtu wala ufukunyuku wowote, they're my blood, veins and arteries...sina mjadala katika hilo, ayakayeniletea habari zake I'll deal with him, not the news.
Sasa inakuwaje mtu unamsamehe lakini anapata maumivu zaidi. Badala ya kuwa na furaha ?Kabla ya kujifundisha kupenda tunatakiwa tujifundishe kumiliki hisia zetu endapo tutasalitiwa kwa sababu usaliti ni jambo linaweza kumkuta mtu yeyote.
Ukishtuka mtoto sio wako mkuu kaa na mkeo kwa peace tu na mpyo safi umuulize mwenye mtoto ni nani,
akishakuambia muonane na mwenye mtoto mzungumze umuulize kwamba ana mipango gani juu ya hao watoto,mwambie wewe hutaki hawa watoto wapate tabuu kwa sababu kila mtoto huja duniani kwa namna yake.
Mtakachokubaliana wewe utaangalia kama kina maslahi na wewe au laa ila hakikisha hauchukui maamuzi yoyote yale ya kumuumiza mama au mtoto.
Hakuna kisasi utakacholiipa kikaendana na thamani uliyoonesha ya kuwajali na kuwalea watoto hao,hivyo hata ukimfanyia ubaya mkeo au mtoto bado hadhi ya wema wako kwa watoto utabaki pale pale na itabaki vile vile kwamba uliwapa thamani watoto ambao sio wako,
sasa kuendeleza thamani hiyo hakikisha hii hali unaihandle vizuri kuonesha kwamba sio tu kwamba unawathamini wanao tu bali hata wasiokuwa wanao kama hao watoto na wengineo uwezo wa kuwathamini unao sana tu.
Thamani ya maisha sio kulipa kisasi kwa waliokukosea,bali ni kusamehe waliokukosea
Nani anayepata maumivu aliyesamehe au aliyesamehewa ?Sasa inakuwaje mtu unamsamehe lakini anapata maumivu zaidi. Badala ya kuwa na furaha ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kiongozi sikumaanisha kufukunyua bali nilimaanisha kuwa ikitokea hali isiyokuwa ya kawaida unagundua hivyo......Knowing is good, but knowing everything is bad. Wakati mwingne tusipende kufukunyua sana vitu ambavyo ukijua uhalali wake inaweza kuwa disadvantage kwako kwa namna moja au nyingne.
Kwa asilimia kubwa (Sina takwimu halisi, ila kupitia mifano kwenye jamii zetu) wengi wamelelewa na social fathers & not biological ones.
Haya mambo ya kila kukicha upo busy na DNA, utakuja kukipata unachokitafuta.