Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Utachukua hatua gani hili likikutokea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishuka ili umpakize mara humkuti (hayupo) dadekUtachukua hatua gani hili likikutokea?
Kwanini uchukuwe hatua yoyote? Wazazi wake hawapo mbali na hapo.Utachukua hatua gani hili likikutokea?
Umpakize si utaambiwa mwizi wa watoto?Ukishuka ili umpakize mara humkuti (hayupo) dadek
Utachukua hatua gani hili likikutokea?
View: https://www.instagram.com/reel/CyjIEPcLwvL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==
I remember,ni mwka 2004/5Miaka kadhaa nyuma, maeneo ya daraja la salenda, kuna mtu alitoa mkono wake kwenye gari kuwapa wale omba omba hela, mara mkono wake ukaota manyoya....
Ilikuwa gumzo Dar ila sikufanikiwa kuona picha wala mhusika kuhojiwa.
Nimekumbuka safari za kikazi kuelekea field na magari ya mradi aka mikonge aka Toyota land cruiser manual....
Nimemiss ule mlio wake.... raha sana.
I remember,ni mwka 2004/5
Polisi watakulazimisha ukakae naye kwako(Ukamhifadhi) wakati Uchunguzi unaendelea.Nawaarifu Polisi
Haina neno so long ni kiumbe nisiyemtilia shaka nakwenda naye tuPolisi watakulazimisha ukakae naye kwako(Ukamhifadhi) wakati Uchunguzi unaendelea.
Wee bwana Sio rahisi kivile mkuu. Kumhifadhi mtoto maana yake - ale, alale, akiugua umpeleke hospitali i.e Mustakabali mzima wa maisha yake unaubeba wewe lakini sio kwa hiari yako. Watu (hata kama ni mtoto) wana mambo mengi usiyoyajua bado na pengine huenda ni hatari kubwa kwako na familia yako. Tena uombe asikufie mikononi mwako. Utahangaishwa sana na Polisi, Ustawi wa Jamii, Dini na hata ndugu zako pia watakuhoji sana. Ni gharama ya kujitakia.Haina neno so long ni kiumbe nisiyemtilia shaka nakwenda naye tu
Baadhi ya madereva wenye imani za uwepo wa majini, mapepo, vibwengo wachawi, kama ni usiku wala hawatamkwepa au kusimama bali watamswaga na kuendelea na safari yao kana kwamba hakuna kilichotokea.Una mgonga tu na gari na kuendelea na safari japo sijafungua hiyo Video.😁😃😅😀😆😄
Wasalimie kimboka hapo huku unaendeleza ndoto zakoMiaka kadhaa nyuma, maeneo ya daraja la salenda, kuna mtu alitoa mkono wake kwenye gari kuwapa wale omba omba hela, mara mkono wake ukaota manyoya....
Ilikuwa gumzo Dar ila sikufanikiwa kuona picha wala mhusika kuhojiwa.
Nimekumbuka safari za kikazi kuelekea field na magari ya mradi aka mikonge aka Toyota land cruiser manual....
Nimemiss ule mlio wake.... raha sana.