Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Timu K.NKuna team inakuja kujipakulia minyama mapema sana
nipe connection mkuu, nina kaz maalumuKuna vitu vingine siyo vya kujadili...
Ukienda congo hapo kuna ma a.k.a 47 kibao hapo na mikanda yake ya risasi..
mabwakumchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon
ni kweli hawafanani, anafanana na huyo wa kwanza kushoto tu. hata hivyo, angetumia busara tu.mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon π¨π² Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.
Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Maamuzi sahihi sana ila ni wachache wanaweza kufanya hivyo kwa amani.Maamuzi gani zaidi? Mnawachana tu kila mtu anatazama maisha yake, na watoto wamjuwe baba yao ni nani.
Hao ni team kataa ndoa, acha wajipakulie.Kuna team inakuja kujipakulia minyama mapema sana