Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon [emoji1062] Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.

Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Huchukui maamiuzi yeyote
 
Masikio kama njitap tu wote
Twins’ True Origins: The truth emerged after a paternity test, which shattered Geremi Njitap’s long-held belief that the twins were his offspring. Instead, they are the biological children of his wife’s previous husband. The weight of this revelation has left the former football icon grappling with a mix of emotions – betrayal, shock, and disbelief.
 
Maamuzi sahihi sana ila ni wachache wanaweza kufanya hivyo kwa amani.
Mwanamke anayefanya hivi ni mjinga kupitiliza. Hii inaleta maumivu ya kihisia ya maisha pale mtoto atakapokuja kuambiwa mtu ambaye alikuwa anamchukulia ni baba yake siyo baba yake. Naona madhara yako kwa watoto zaidi kuliko wazazi.
 
Back
Top Bottom