Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #261
Hadi wa kiume?Nawapakia mkongo watoto mpaka mama yao
😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi wa kiume?Nawapakia mkongo watoto mpaka mama yao
Ila kuna kitu Mungu ameweka kama siri, ukiona unalea mtoto au watoto wa mwanaume mwenzio bila kujua,fahamu kabisa na wwe kuna sehemu una mtoto au watoto wako wanalelewa na mwanaume ambae nae anajua wale ni wanawe!! Malipo ni hapa hapa Duniani!!Wapo baadhi wamechangia ila wengi wamepita kimya kimya ila lingekuwa ni la upande wao tungeshuhudia mengi.