Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

Wapo baadhi wamechangia ila wengi wamepita kimya kimya ila lingekuwa ni la upande wao tungeshuhudia mengi.
Ila kuna kitu Mungu ameweka kama siri, ukiona unalea mtoto au watoto wa mwanaume mwenzio bila kujua,fahamu kabisa na wwe kuna sehemu una mtoto au watoto wako wanalelewa na mwanaume ambae nae anajua wale ni wanawe!! Malipo ni hapa hapa Duniani!!
 
Back
Top Bottom