Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

Wanawake Mashetani Wekundu, Timua Mwanamke
 
Sijui kama Kuna maumivu makali kushinda haya kwa mwanaumee..!! Hakika mwanamke akikufanyia hivi ni zaidi ya ushetaniii
Maumivu lazima yawe makali, miaka 12 unalea watoto ambao sio wako unaweza ukachizika.
 
Simple Sana, ndoa navunja, mi nabaki kama baba Yao, watabeba jina langu, wakitaka kumjua biological father wao, nitawasaidia, wakiwa, wa kubwa, wakataka kufata jina la dingi Yao, ni poa tu, hapo ndio na Mimi nitawatoa kwenye mirathi,
Ndoa automatically inakua ishavunjika.
 
Hayo yote yatawezekana kama bado mkeo anakuheshimu, kuna wanawake wengine mkipishana tu anakuropokea kwanza watoto sio wako na hapo lazima kuibuke tatizo.
 
move on because life is going on. hakuna namna nyingine 🐒
 
Mimi nachukulia kawaida tu.

Maana kuna watu wamezaa watoto copy kabisa Ila leo ni useless tu. Na wengine wamelea tu hao hao wakufikia na wamewasaidia hao step father wao.
 
Maisha yanasonga tu,ivi mfano unamwacha unaenda OA alonawatoto 4 wamijamaa! Unasolve au?

Kama ni mwazoni mwa Ndoa hapohapo nafukuza wote navuta chomboo mpya. Cha msingi nikuishi ukijua Sasa kwamba hauko na watu salama sana yaani mke na hao watoto.
 
Inauma sana Dada, nimejaribu kuvaa viatu vya mwamba nimeshindwa hata kuvivaa.
Na ukute ukiwa unacheza nao nje mwanamke anakuchungulia dirishani moyoni anasema hili stupid linavyo komaa kujichezesha na watoto linadhani ni wake😅😅 fala tu hili
 
Na ukute ukiwa unacheza nao nje mwanamke anakuchungulia dirishani moyoni anasema hili stupid linavyo komaa kujichezesha na watoto linadhani ni wake😅😅 fala tu hili
Hilo halishindikani hasa kama alishaanza kuonesha dharau.
 
Mimi nachukulia kawaida tu.

Maana kuna watu wamezaa watoto copy kabisa Ila leo ni useless tu. Na wengine wamelea tu hao hao wakufikia na wamewasaidia hao step father wao.
Tatizo ni usaliti, kuna tofauti ya kulea ukiwa unajua huyu ni wako na huyu sio wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…