Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake Mashetani Wekundu, Timua Mwanamkemchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.
Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Alirutubisha Mbegu tu mjazo alijaza mwingineMbona mapacha wamefanana na baba yao sasa?😂
Maumivu lazima yawe makali, miaka 12 unalea watoto ambao sio wako unaweza ukachizika.Sijui kama Kuna maumivu makali kushinda haya kwa mwanaumee..!! Hakika mwanamke akikufanyia hivi ni zaidi ya ushetaniii
Inauma sana Dada, nimejaribu kuvaa viatu vya mwamba nimeshindwa hata kuvivaa.Dah,inauma.
Ndoa automatically inakua ishavunjika.Simple Sana, ndoa navunja, mi nabaki kama baba Yao, watabeba jina langu, wakitaka kumjua biological father wao, nitawasaidia, wakiwa, wa kubwa, wakataka kufata jina la dingi Yao, ni poa tu, hapo ndio na Mimi nitawatoa kwenye mirathi,
Ni rahisi ila si rahisi, msongo wa mawazo hautokuacha salama.Nifanyeje? Labda ukute mimi sijawahi kuchepuka itauma sana ila nitaishi tu kwa kuzingatia msemo wa wahenga "kitanda hakizai haramu ".
Hayo yote yatawezekana kama bado mkeo anakuheshimu, kuna wanawake wengine mkipishana tu anakuropokea kwanza watoto sio wako na hapo lazima kuibuke tatizo.Kuna kitu hakipo sawa kwenye kizazi hiki na serikali inakosea sana kukipromote. Kupima DNA.
Mi ni Baba wa watoto 4, sithubutu kwa namna yoyote ile kupima DNA. Mtoto aliyezaliwa kwenye Boma langu ni wa kwangu hata asifanane na mimi. Huu ukisasa wa kutaka kupima DNA ni chanzo cha migogoro, misongo ya mawazo na mauaji kwenye familia nyingi. Msijiumize bila sababu. Toka enzi za wazee wetu, familia nyingi zina mchanganyiko wa damu ila wazee walinyamaza.
move on because life is going on. hakuna namna nyingine 🐒mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.
Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Vina miiba aiseeeInauma sana Dada, nimejaribu kuvaa viatu vya mwamba nimeshindwa hata kuvivaa.
Wapo baadhi wamechangia ila wengi wamepita kimya kimya ila lingekuwa ni la upande wao tungeshuhudia mengi.Wanawake ni wanafiki sna wamepita kama hamna kitu vile.
Misumari ya motoVina miiba aiseee
Sasa huyo ni mwanamke au takataka? Fukuzia mbali yeye na hao watoto.Hayo yote yatawezekana kama bado mkeo anakuheshimu, kuna wanawake wengine mkipishana tu anakuropokea kwanza watoto sio wako na hapo lazima kuibuke tatizo.
Na ukute ukiwa unacheza nao nje mwanamke anakuchungulia dirishani moyoni anasema hili stupid linavyo komaa kujichezesha na watoto linadhani ni wake😅😅 fala tu hiliInauma sana Dada, nimejaribu kuvaa viatu vya mwamba nimeshindwa hata kuvivaa.
Hilo halishindikani hasa kama alishaanza kuonesha dharau.Na ukute ukiwa unacheza nao nje mwanamke anakuchungulia dirishani moyoni anasema hili stupid linavyo komaa kujichezesha na watoto linadhani ni wake😅😅 fala tu hili
Kuishi na mwanamke wa aina hiyo ni sawa na kuishi na bomu, muda wowote linalipuka.Sasa huyo ni mwanamke au takataka? Fukuzia mbali yeye na hao watoto.
Tatizo ni usaliti, kuna tofauti ya kulea ukiwa unajua huyu ni wako na huyu sio wako.Mimi nachukulia kawaida tu.
Maana kuna watu wamezaa watoto copy kabisa Ila leo ni useless tu. Na wengine wamelea tu hao hao wakufikia na wamewasaidia hao step father wao.