Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Mar 30, 2024 Thread starter #261 weed said: Nawapakia mkongo watoto mpaka mama yao Click to expand... Hadi wa kiume? π
jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,963 Reaction score 9,401 Mar 30, 2024 #262 Half american said: Wapo baadhi wamechangia ila wengi wamepita kimya kimya ila lingekuwa ni la upande wao tungeshuhudia mengi. Click to expand... Ila kuna kitu Mungu ameweka kama siri, ukiona unalea mtoto au watoto wa mwanaume mwenzio bila kujua,fahamu kabisa na wwe kuna sehemu una mtoto au watoto wako wanalelewa na mwanaume ambae nae anajua wale ni wanawe!! Malipo ni hapa hapa Duniani!!
Half american said: Wapo baadhi wamechangia ila wengi wamepita kimya kimya ila lingekuwa ni la upande wao tungeshuhudia mengi. Click to expand... Ila kuna kitu Mungu ameweka kama siri, ukiona unalea mtoto au watoto wa mwanaume mwenzio bila kujua,fahamu kabisa na wwe kuna sehemu una mtoto au watoto wako wanalelewa na mwanaume ambae nae anajua wale ni wanawe!! Malipo ni hapa hapa Duniani!!