Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utalitekelezaje hilo?Ntawaua wote kwa njaa
Mama yao kawaharibia maisha alidhani haitofahamika.madogo wanaenda kuishi kama digidigi na mapenzi kwa mama yanaenda kuisha
Kipimo kiko accurate 100%? Umeolewa na tajiri bado una cheat!! Bumbavmchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.
Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Huyo alifuata pesa, watoto alijipanga kuzaa na ex.Kipimo kiko accurate 100%? Umeolewa na tajiri bado una cheat!! Bumbav
Ukiwa na pesa na ukakosa furaha ni kazi bure. Watoto kukusaidia ukiwa hauna nguvu sio pesa tu kuna mambo mengiMilionea huyo kacheza ligi ya Uingereza hana shida na hela,ila amekataa kuendelea kuyalea mabao ya mwanaume mwenzie.
Kama wa ndugu yako sawa unaweza kuea sababu damu mojaAf sasa na wewe. Umeshaambiwa imegundulika siyo wa kwake. Labda wa mdogo wake au kaka yake
Unauhakika baada ya kuwaacha hao watoto kakosa furaha.Ukiwa na pesa na ukakosa furaha ni kazi bure. Watoto kukusaidia ukiwa hauna nguvu sio pesa tu kuna mambo mengi
Yah ni kweli ila asilimia kubwa labda watoto wa kiume ila wakike huwa wapo tofauti kidogoUnauhakika baada ya kuwaacha hao watoto kakosa furaha.
Huwezi kujua anafikiria nini kichwani mwake,sometimes kitendo cha kukubali watoto sio wake na kumove on ni kitendo cha kishujaa.Kwani kuna wengine hapo ungesikia tayari,kisha wapoteza wote na yy kujitoa uhai.
Halafu nani amekuambia ukiwa na watoto watakuja kukusaidia uzeeni ,halafu hawa watoto wenyewe wamelelewa ulaya na ulaya mzee ukizeeka unaenda kutupwa nyumba za wazee. Husikariri unaweza ukawa na watoto na wasiwe na time na ww uzeeni.
Acha kukalili hao wamekulia ulaya,siku hizi hata Afrika vijana kibao hawana time na wazee wao. So tunza hela zako zikulee uzeeni, timiza majukumu yako ya kuwapa mahitaji yao ya msingi watoto wako ila hai-guarantee kwamba watakuthamini uzeeni.Yah ni kweli ila asilimia kubwa labda watoto wa kiume ila wakike huwa wapo tofauti kidogo
Ukishakuwa na hela nadhani familia/watoto wana nafasi kubwa sana kwenye furaha yako.Ukiwa na pesa na ukakosa furaha ni kazi bure. Watoto kukusaidia ukiwa hauna nguvu sio pesa tu kuna mambo mengi
Kabisa aisee,wanawake wanaofanya hivi huwa wanadhani wamemzidi ujanja na kumkomoa mwanaume,lakini kiukweli anakuwa amewakosea na kuwadhulumu watoto wake haki ya kumjua baba yao halisi,haki ya kujua chimbuko na asili yao.Pia kuwajus nfugu xao halisi wa damu.Hii yote inatokana na tamaa na ubinafsi wa wanawake.Mwanamke anayefanya hivi ni mjinga kupitiliza. Hii inaleta maumivu ya kihisia ya maisha pale mtoto atakapokuja kuambiwa mtu ambaye alikuwa anamchukulia ni baba yake siyo baba yake. Naona madhara yako kwa watoto zaidi kuliko wazazi.
Au sio!!Mkeo akikuambia mtoto ni wako ni wako
Just imagine una miaka 60, ndo unagundua hilo,watoto hawana kosa kuwaua ni kuwakatili.
Hata ukiwaua haibadili hilo ila inaumiza sana.Just imagine una miaka 60, ndo unagundua hilo,
"kiitikio siku utakapo kufa, Marehem hakufanikiwa kupata watoto ezi za uhai wake" 😢😢
Lengo ni, tukose wote... Pia iwe fundisho kwa jamii.Hata ukiwaua haibadili hilo ila inaumiza sana.
Teh teh teh teh! Watoto hawana baya,maana hakika wanaita Baba. Ila sasa,mama yao aliekuwa akikuchora miaka yote,mchepukaji,gharama za malezi yao! Yahitaji moyo aise. Vinginevyo, utapata murder case.Kama wa ndugu yako sawa unaweza kuea sababu damu moja
Hivi hapa bado mali walizochuma watagawana 50/50 50 ?mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.
Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
hapa ilitakiwa mwanamke amlipe jamaa gharama za matunzo na asipewe chochote kwenye maliHivi hapa bado mali walizochuma watagawana 50/50 50 ?