Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

Ulokole wako umeondoa uwezo wako wa kufikiri uliopewa na Mungu.
 
Kipimo kiko accurate 100%? Umeolewa na tajiri bado una cheat!! Bumbav
Wapo wengi hao mkuu. Namfaham mmoja,wana hela chafu. Lakini,mwanamke, nadhani hajui kusema neno hapana. Watu wana mi VX,lakini walinzi wa shule,wauza kuku wanaotembeza kwa baiskeli,waanika dagaa mwaloni,waganga wa kienyeji ndo usiseme. Japo huyu siku zote alilenga kumuua mme wake.

Af cha ajabu,kwa nini wale wanaohangaika vijijini,kupiga tu vibarua,wanaheshimiana na kuelewana! Kuna wakati elimu na pesa huwa shida sasa. Japo na wengine unakuta hata la 7 hakuingia,ila milango ya maisha ikifunguka tu,mtajuta.

Hivi,mliwahi jiuliza kwa nini mwanaume akiua kwa sababu kama hii,mahakama haiwezi kumpa kifungu cha maisha?
 
Jamaa fala sana, utaoaje singo Maza?.

Kuna singo Maza wengine washahapa kuzaa na mwanamme mmoja tuu.

Ukimuoa ujue, watoto wote atakaozaa ni wa mwanamme wa kwanza.
Single maza ni tatizo..na usikute pamoja na kuachana lkn bado walikua pamoja ndio yakatokea hayo
 
Dah ...pole yake Mwamba...tumejifunza
 
Ndio faida/hasara za kuwa well-off, mwanamke hakupendi lakini anakuja kwako kwa ajili ya vipande vya fedha.

Hata sijui ningefanyaje
 
Busara ya kulea shahawa za dume jenzako?
Mirembe wanakuitaji ufike mapema.
wanadamu wengi huwa wanajihesabia haki, hata wanapowapa adhabu wengine huwa wanajiona wao ni watakatifu, kumbe na wao wana makosa yao mengi. wanahitaji kusamehewa, Yesu alisema kama hutawasamehe wengine na Mungu hatakusamehe. ni jambo gumu lakini ni muhimu kulitafuna kama lilivyo ili kuponya roho.

kwa wanavyosema, huyo mama alikuwa mke wa mtu mwingine kabla hajaolewa na huyo mcheza mpira, manake aliondoka kwa mmewe akaolewa naye, sasa unategemea huyo mumewe wa zamani alikuwa anaishi naye kama dadake wewe ulipomchukua? unajua maana ya mume na mke kweli? ukiamua kuchukua mke wa mtu umuoe, usitegemee utamkuta bikra, ni kwamba unachukua mtu aliyekuwa akiingiliana na mumewe mara nyingi zisizohesabika hivyo ni jambo la kawaida watoto kuwa wa mume huyo wa zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…