KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
Imezoeleka watu kuwapa adhabu mbalimbali pale wanapowafumania wapenzi wao wakizini na watu wengine. Ulishawahi fikiria nje ya box vipi ukamfumania mke au mume wako akizini na nduguyo wa damu ama kaka yako au mdogo wako? Utachukua hatua ipi ya maamuzi? Je, undugu baina yenu utakuwepo tena au utaufutilia mbali na kumfanyia unyama? Ni upi uamuzi sahihi utakaoufanya baina yao?